Maalim Jumar JF-Expert Member Joined Dec 28, 2010 Posts 1,259 Reaction score 118 Jan 6, 2011 #21 Magulumangu said: Kasuku mhhh naye lakini kiama chake kwa majirani, kila linalotokea mtaani yeye, lifanyikalo mjini analijua...ila huyu Kunguru kakaaaa usiombwe kumfuga utakoma... Click to expand... Ulikosa bata...hadi uwafuge kunguru?
Magulumangu said: Kasuku mhhh naye lakini kiama chake kwa majirani, kila linalotokea mtaani yeye, lifanyikalo mjini analijua...ila huyu Kunguru kakaaaa usiombwe kumfuga utakoma... Click to expand... Ulikosa bata...hadi uwafuge kunguru?
Magulumangu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 3,051 Reaction score 461 Jan 6, 2011 Thread starter #22 Maalim Jumar said: Ulikosa bata...hadi uwafuge kunguru? Click to expand... Kunguru aliwala wote so nikaona ngoja nimfuge mla bata wangu, kumbe mamamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...hahahah umeniacha hoi mkuu
Maalim Jumar said: Ulikosa bata...hadi uwafuge kunguru? Click to expand... Kunguru aliwala wote so nikaona ngoja nimfuge mla bata wangu, kumbe mamamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...hahahah umeniacha hoi mkuu