Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
Kasuku mhhh naye lakini kiama chake kwa majirani, kila linalotokea mtaani yeye, lifanyikalo mjini analijua...ila huyu Kunguru kakaaaa usiombwe kumfuga utakoma...
Ulikosa bata...hadi uwafuge kunguru?