IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,578
- 7,774
Hata mimi niko kama wewe! yaani kuna watu ni wadwanzi sana, sasa zaidi ya hapo unaleta na watu eti washuhudie!! kwa kweli simlaumu Nduka ku fanya alichofanya.
yeah man,......lazima heshima iwepo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi niko kama wewe! yaani kuna watu ni wadwanzi sana, sasa zaidi ya hapo unaleta na watu eti washuhudie!! kwa kweli simlaumu Nduka ku fanya alichofanya.
Was thinking in the same line, but to face the devil alone, my stomach shake.
mhhhhhhhh!..yaani hapo ndipo ninapokiri keli Mungu katuumba tofauti_maake mimi nilivyo na kislani hata ex_wa girlfriend wangu sitaki kukaa naye karibu(thanx God hata simfahamu na wala sitaki kujua habari zake..hope hata wenzangu wenye hulka kama zangu hawataki kujua).,,sembuse mwanamke niliyemuoa alete ex wake eti tuongee,.....yaaani sijui
Tena ikiwezekana mhusishe mkeo...uwaombe hao wanandoa wengine mkutane wote wa nne na kuongea. Na ukifanya hivyo usianze kutafuta visingizio vya sijui nilifanya kwasababu hii au ile maana hamna chochote kilichokupa wewe haki ya kuropoka maneno ambayo yanaweza kuharibu ndoa ya wenzako..kwahiyo wewe elewesha na omba samahani kama mtu aliyokosa na sio kujifanya ulilazimishwa/lazimika/sukumwa kufanya vile.
Mkuu maisha haya huwezi waepuka hawa ma x, hasa kama ulikuwa una date watu wa class(social) yako maana wataendelea kuwepo arround lakini kama unacheza na mahaus geli na ma bar maid mnaweza kuka miaka mia tano bila kuonana.
Kuwahusisha kunaweza kukawa kuzuri au kubaya..binafsi nadhani itakua vizuri maana inaweza ikawasaidia (nyie wanaume) kubehave.Kama mara ya kwanza mkeo angebaki usingedhubutu kutoa hayo maneno labda kama ungekua umelewa njwi hujielewi..ila vyovyote vileNakubaliana na wewe 100%, ila sasa nimejifunza hili suala halihitaji kuwa husisha wake zetu maana inaweza kuwa ndio tunachochea moto. Thanks kwa kunipa mwanga, u r a true angel
Pamoja na hili mzee , lakini ni muhimu sana kujaribu ku avoid ile close contact kwani ni lazima itafikiriwa sivyo tu
Kuwahusisha kunaweza kukawa kuzuri au kubaya..binafsi nadhani itakua vizuri maana inaweza ikawasaidia (nyie wanaume) kubehave.Kama mara ya kwanza mkeo angebaki usingedhubutu kutoa hayo maneno labda kama ungekua umelewa njwi hujielewi..ila vyovyote vile
samahani ya dada wa watu umpatie.
sikushauri vikao, hata kama una nia ya kurekebisha , hakuna mwanaume anaweza kukaa meza moja na mwanaume aliyelala na mkewe na yeye akajua mbaya zaidi amejua mbele ya kadamnasi, kama unataka kumwagiwa tindikali endekeza vikao,! tuma msg jieleze mwanzo mwisho then waache wenyewe wayasolve.
Ku behave sio wanaume tu, mbona huyo dada aliniogesha kilimanjaro kubwa ya baridi mbele ya watu? Ila bora awepo mke wake maana mke wangu sioni anahusika vipi from the begining wenye matatizo ni sisi wa tatu.
kama unataka kumwagiwa tindikali endekeza vikao,.
Sasa hapo itabidi niongee na jamaa wa boda boda aniazime Helmet nianze kutembea nayo, seriously njia ya sms bado naiona kama haita faa sana, labda inaweza tu kumpa ushahidi akitaka kuni sue, maana kuna kesi hapo akiamua kunikomoa.
Nailyne napata tabu kuamini hii avatar yako, wewe utakuwa mwanaume piga ua galagaza, unachosema ndicho halisi kwa mwaume , unless awe na tatizo!!!
IGWE atakubaliana na mimi!!!