Nimemwaga mboga...lakini nafsi inanisuta.

Wewe ni lichawi kabisa,kwa nini umemfanyia hivyo huyo dada?kukusaidia imekuwa kosa?sasa je unakijua kilichoendelea huko nyumbani kwao?wewe hufai hata kidogo SHAME ON YOU.
 
Wewe ni lichawi kabisa,kwa nini umemfanyia hivyo huyo dada?kukusaidia imekuwa kosa?sasa je unakijua kilichoendelea huko nyumbani kwao?wewe hufai hata kidogo SHAME ON YOU.

Wewe malaika, mimi mwanadamu tupo dunia tofauti kabisa.
 
wala hujamwaga mboga,yule jamaa ndo kamwaga mboga wewe ukamalizia na ugali tena wa muhogo
 
ALL WOMEN ARE USED that is why ndoa hazidumu kabisa
 
Inabidi ukamwangukie jamaa ili kunusuru ndoa ya wawili hawa
 
Huyu mwanaume amepata kile alichostahili kwani alikuwa hana sababu ya kukujia wewe na kukuuliza ju ya wewe kuzungumza na mkewe; yeye alikuwa na jukumu la kumkabili mkewe na kumueleza kuwa hakupendezewa na huo ukaribu aliodhani mkewe alikuwa nao kwako. Hata hivyo kitu ulichowafanyia hawa jamaa sio cha kiungwana; tafuta njia ya kuwasiliana nao na uwe mkweli kwanini uliwafanyia hivyo pamoja na kukili kuwa hukuzini na mkewe.
 
sasa anger ya nini na wewe ndie unaewasiliana na mke wa mwenzako? umefanya vibaya sana na hiyo itamcost huyo dada sana
 
Dah, kaka umeharibu sana. Ok any way ulikuwa unajihami lakini hili limekaa vibaya. Dah, ngojea nifikiri kidngo mkuu!
 
Wewe kaka muuaji kabisa na mbinafsi,ukamuondoa mkeo.Wapigie simu hiyo familia na uwaeleweshe
 

Huko kwenye red unafikiri alikuwa anataka kukuaibisha na kukudhalilisha kwa kitu gani? Kama mawasiliano na mke wake yalikuwa tuu kwa ajili ya cheti cha mtoto wako, angekuaibisha au kukudhalilisha kwa kitu gani? Kuna kitu kitu kingine cha aibu au cha kudhalilisha ambacho umeshawahi kufanya lakini bado umemficha kumwambia mke wako?

Halafu hapo kwenye blue unajua the root cause ya hilo tatizo ni nini? Then, linganisha na unayoandika kwenye jukwaa la siasa. Unaona jinsi huduma mbaya kwenye vyombo vyetu vya umma inavyoharibu mahusiano, mapenzi na urafiki? Kama ungehudumiwa ipasavyo unafikiri haya yote yasingetokea?
 
Tuko pamoja Igwe...ila nduka asilani usirudie tena, una bahati..kwani m'ume anapohanith.wa mbele ya mkewe anaweza fanya chochote..usionane naye anaweza kuwa kapata walimu wehu utaumia. <br />
<br />
 
Wewe malaika, mimi mwanadamu tupo dunia tofauti kabisa.
<br />
<br />
Kitendo ulichokifanya ni cha kishetani kabisa kabisa,nenda kawaombe msamaha nakumueleza jamaa ukweli,ili unusulu ndoa yao othorways huyo dada atakulaani na laana yake lazima ikupate.
 
hivi ilikuaje hadi mkajuana....i mean nduka na mme wa x wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…