Nimemwagiwa maji hadharani

Nimemwagiwa maji hadharani

THE JAGGERS

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2023
Posts
545
Reaction score
410
Salamu zenu wana Jukwaa,

Leo kwa mara ya kwanza katika pitapita zangu kwa nimemwagiwa maji machafu hadharani halafu ukicheki nimetupia pamba zangu za ukali kuwahi appointment na demu wangu, dah hapa nimeghairi niko zangu maghethoni nakula usingizi🛌🛌.
 
Back
Top Bottom