THE JAGGERS
JF-Expert Member
- Apr 3, 2023
- 545
- 410
usipite vichochoroni na mabarazani kwa watu ikiwa umevunja kabati.Sawa kaka...Sasa unatoa ushauri gani
Nyiee wadada mnamakusudi sanaaSawa kaka...Sasa unatoa ushauri gani
Mkuu nipo maghetto now naogopa hata kutoka njesi ubadilishe nguo,
utachapiwa,
Hata mimiKichwa Cha Uzi kilinistua sana
Hebu wa edit bwana🤠Hata mimi
ulijua nini?Kichwa Cha Uzi kilinistua sana