Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
Jamaa yangu wa kazini leo kaja home kunichukua twende meneo ya uswahilini anakoishi. Anaishi Kijitonyama. Ni maeneo yenye msongamano sana kwa kweli sijui tu why serikali isingebomoa Sinza,Kijitonyama n.k halafu zikajengwa nyumba nzuri za kisasa.
Jamaa anatumia Toyota Prado.akasema niende naye town akanunue Pete kwa ajili ya Mchumba wake. Anataka oa. Tukapita kituo cha mafita akaweka mafuta ya tsh 30,000 hapo nikashtuka. 30,000 kweli unaamini hayo ni mafuta ya gari au pikpik?nikaona isiwe shida nikampa 100,000. Maana wasiwas wangu ni kuwa tunaweza zimikiwa njiani.
Akaongeza hapo nikawa na amani sasa. Prado si mbaya sana ingawa naona kama ni nyepesi na ukipanda unayasikia mashimo kwenye hizi lami zetu.haijatulia kama RR,Benz,Jeep,VW,BMW na GMC hizi gari nzito zina absorb mashimo.
Tupo town kununua pete nikaona pete nzuri ina Tanzanite tsh 8,500,000. Nikamwambia achukue hiyo kwa ajili ya uchumba. Jamaa kiswahili kikawa kingi mwishowe kanunua pete tsh 1,100,000. Nimemshangaa jamaa.
Nimemuuliza hivi anampenda kweli huyo bint?amejipanga kuishi vizuri na mtoto wa watu? Mafuta kwenye gari anaweka tsh 30,000 pete ananunua ya milion moja na lakh moja.yupo serious kweli? Asije oa mtoto wa watu akaenda mtesa tu huko.
Nikamwambia angalau tufike duka flani hivi posta lina vitu vya kike quality.kashindwa mnunulia mchumba wake saa ya tsh 720,000 tu. Anasema ghali atamtafutia ya tsh 100,000. Ninejisikia vibaya sana.
Basi tukiwa tunarudi ndo nikamuuliza unataka kuoa una tsh ngapi ananambia ana tsh mil 12,000,000. Nmechoka. Nimemwambia aachane na habari za kuoa. Ajipange tu kwanza. Asije enda mtesa mtoto wa watu. Hapo anasema anategemea michango yetu. Why uoe wewe sisi tukuchangie? Anyway.nmemwambia ntamchangia but inabidi ajipange apate pesa.
Otherwise kwa sasa asioe kwanza. Ajipange kimaisha. Akipata pesa ndo aoe. Pia asiende ishi na bint wa watu kijitonyama. Atafute apartment huku Oyersterbay hata ya tsh 2,500,000 kwa mwezi huku akijipanga zaidi.
Sometimes unasema msichana si mzuri kumbe mazingira unayoishi naye. Huku Obay upepo upo 24x7 na nyumba za huku ni Full Ac. Kama yangu hadi kibarazani kuna AC.
Mi nlishawaambia sana vijana. Kabla hujaoa jipange kwanza.usiende mtesa mtoto watu maskini. Nimemwambia jambo hilo hajajibu mpaka sasa sijui atanifikiriaje ila ndo ukweli usioe kama huna pesa za uhakika.