Nimemwambia aachane na Habari za Kuoa. Afanye issues nyingine kwanza

Nilianza kusoma bila kunoti nani karusha... kuelekea mwishoni nifikiria ni kama wewe.. kurudi kuangalia nime 😂 😂 😂 😂 🙌
 
Sasa si utani ....

Kuna watu ni wajinga Sana humu

Kiduku Lilo ni Mr jokes ...

Yeye kuwa tajiri au kutokuwa haituhusu ...

Ukimmind kiduku wewe ni mpumbavu aisee
 
Nimeshindwa kusoma kutokana na ulivyoandika,ww utakuwa mhaya,jamaa amekupa lifti alafu bado unamdharau.

Huyo ni mwana uchumi mzuri sana,Mimi naweza kuwa na ela mfukoni lakini nina njaa na nisinunue chakula naona Kama nitapoteza ile ela,nitaitunza mpaka nifike nyumbani nijipikie.

Unajisifu ksma mhaya
 
Umenifurahisha sana[emoji3][emoji3]
 
🤣🤣 mlishaona wapi tajiri anakuja kufungua uzi humu hovyo hivii.. mkuu we ni mla kiporo mwenzetu kilamba mwiko mkubwa we.
Kiduku Lilo alipotea jukwaan kuanzia mwezi wa 4 mwaka jana. Hadi january hii ndo karudi jukwaani Alitafutwa mpaka watu wanamuanzishia uzi.hiyo tu itoshe kusema ni kiasi gani watu wanammissi😂 hiyo miezi yote itoshe kusema tajiri alikuwa anatafuta pesa sasa yupo likizo. Mwache boss wetu hujui nyuzi zake zinatupa hamasa kuchukia umaskini?

Imegine mm nilikuwa mjini kwetu huku nikaona jeep rangi nyekundu ikapita nilijikuta nasema hii ni kama ya Kiduku Lilo mpaka hapo hujaona anavyo inspire?
 
Ha ha! Okay fanya kutafuta ndoano nawe ukavue! Ye anaandika utumiaji tu na si utafutaji! Sema umetamani tu ila hujui njia anayotumia ukitatua hapo utaacha kutamani bali utaishi hayo maandishi.
 
Ha ha! Okay fanya kutafuta ndoano nawe ukavue! Ye anaandika utumiaji tu na si utafutaji! Sema umetamani tu ila hujui njia anayotumia ukitatua hapo utaacha kutamani bali utaishi hayo maandishi.
Siwezi ingia mitego ya mtoto mdogo kama Kiduku Lilo Basi tu nyuzi zake zina tufundisha vitu vingi sana ambayo ndo maisha tunatamani tuishi. Staki kujua anatunga wala nini.mm naangalia alichoandika. Humu kuna watu wazee wenzangu nawatamani la sio kiduku. Alojiunga 2018.
Bwt humu kuna watu tunawajua hadi kwao real life.hao ndo wakutamani sio walojificha nyuma ya key board.
 
Kweli umezeeka maana umeshindwa hata kuelewa komenti yangu..😂 pole
 
Kwa mara yaa kwanza leo umepanda prado

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuwahi panda hizi gari aisee....zinasifiwa sana lakini za kawaida. Nyepesi sana. Pia hazitulii barabarani maana sometimes vishimo vidogo sana unasikia ndani. Sijui. Ila nadhani waboreshe hizi gari kwa kweli hazina comfortability kabisa.
 
Jaribu tu kuheshimu watu usiowafahamu. I have my life and you have yours. Why dont you stick on yours? Hufahamu umri wangu why you disrespect me? Wanawake wengi wa humu you like to be mistreated. Hampendi kujiheshimu.sisi wengine hatukuelelwa kutukanana na watu. Thats why we mind our own business. Sijawahi mkosea heshima anybody humu JF. Coz i have my own life. Msitake kuzoeana na watu kwa style hiyo ya kukoseana heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…