Nimemwambia akipata kazi na pesa ndiyo nitajua kama ana mapenzi ya kweli na mimi, kakasirika

SISIS

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Posts
10,892
Reaction score
3,112
Nipo kwenye mahusiano na binti 2 years aliasomea ualimu na kazi hajawah pata mahusiano 2 years hakuna nachofaidika zaidi ya mbususu hana offer yyte hata likitokea la kutokea napambana mwenyewe.

Hapa kati kati akawa anafosi nimuowe nikamwambia tu wewe hapo ulipo tabia zako halisi bado hazijajulikana nikamwambia ukiomba hizi ajira za ualimu na ukipata kazi hapo ndio sura yako halisi itajulikana na ndio nitajua nipo na wife material au mdangaji kakasirika na hapokei sm.

Ila huo ndio ukweli wanawake wakishapata kazi tu hapo ndio utawajua tabia zao.
 
1.Mwanamke anapokua Hana pesa, mahusiano kwake ni chanzo cha mapato( Kama amepata Ajira) lengo la kila mwanamke ukimuuliza atakujibu nataka mwanaume awe anamuhudumia awe anampa pesa.

2. Mwanamke akipata pesa anajitenga na mwanaume, ila mwanume akipata pesa uwaza kutumia na mwanamke, zingatia mwanamke awe mke wake au mchepuko Bado ni mwanamke.
 
Ulikuwa na shida ya kula mbususu. Tayari umepata now she is useless!

Kwa mwanaume mahusiano ni kujitoa.

Ukiona haupo tayari kujitoa kwa mwanamke wako basi jua huyo haukuwa na malengo naye ya muda mrefu.
 
Nikweli, ila unatuonyesha tayar umekwisha tangulia kufikiria ubaya kwake....sizan kama kuna trust kati yenu wawili hapo..!!

Trust ni moyo wa mahusiano yoyote yale
 
Vip kuhusu mishangazi
1.Mwanamke anapokua Hana pesa, mahusiano kwake ni chanzo cha mapato( Kama amepata Ajira) lengo la kila mwanamke ukimuuliza atakujibu nataka mwanaume awe anamuhudumia awe anampa pesa.
2. Mwanamke akipata pesa anajitenga na mwanaume, ila mwanume akipata pesa uwaza kutumia na mwanamke, zingatia mwanamke awe mke wake au mchepuko Bado ni mwanamke.
 
Sasa hili nalo linahitaji uzi kweli? Una mwanamke mmoja unakuja kutusumbua hapa wengine wanao hata 5 na wamechili tu

KAZI KWELIKWELI...
 
Asilimia kubwa ya wanawake; akiolewa na akaona kabisa ndoa hiyo ina future, usitegemee kumuona yupo busy kutafuta kazi. Mwanamke by nature, anaweza kua na degree hata 2 and may be anafanya kazi, akiolewa na mwanaume aliye serious na maisha na anaweza kumpa mahitaji yake muhimu, statement 1 tu, "mama, naomba unilelee watoto wangu" ana acha kazi. Wanawake wengi wanaishi kwenye ndoa kwa mitego cause wameona hakuna future hapo, mnapotezeana muda and this is why nao wanakua wajanja. Unapiga machine vizuri, pesa zake za mahitaji muhimu anapewa; ni rahisi sana kuridhika hawa watu.
Before we talk -ve about them, let us observe our behaviors first
 
Nipo kwenye mahusiano na binti 2 years aliasomea ualimu na kazi hajawah pata mahusiano 2 years hakuna nachofaidika zaidi ya mbususu hana offer yyte hata likitokea la kutokea napambana mwenyewe.

Hapa kati kati akawa anafosi nimuowe nikamwambia tu wewe hapo ulipo tabia zako halisi bado hazijajulikana nikamwambia ukiomba hizi ajira za ualimu na ukipata kazi hapo ndio sura yako halisi itajulikana na ndio nitajua nipo na wife material au mdangaji kakasirika na hapokei sm.

Ila huo ndio ukweli wanawake wakishapata kazi tu hapo ndio utawajua tabia z

Vip kuhusu mishangazi
Vijanaaaaa bana, Hawahitaji mambo mengiii.!!
 
Nipo kwenye mahusiano na binti 2 years aliasomea ualimu na kazi hajawah pata mahusiano 2 years hakuna nachofaidika zaidi ya mbususu hana offer yyte hata likitokea la kutokea napambana mwenyewe.

Hapa kati kati akawa anafosi nimuowe nikamwambia tu wewe hapo ulipo tabia zako halisi bado hazijajulikana nikamwambia ukiomba hizi ajira za ualimu na ukipata kazi hapo ndio sura yako halisi itajulikana na ndio nitajua nipo na wife material au mdangaji kakasirika na hapokei sm.

Ila huo ndio ukweli wanawake wakishapata kazi tu hapo ndio utawajua tabia zao.
Yote katika yote , you are a man ishii kiakili!🧠
 
Lugha uliyotumia inatweza utu wake
 
Hii sio kwaajili yako, naongea na mabinti juu ya aina ya wanaume kama wewe....

Wanaume hawana kona kona kwenye jambo alilokusudia kufanya. Men are intentional when they want to marry. Inachukuwa miezi 3 mpaka mwaka kujua kama mnafika popote. Na utajuaje? Matendo yake, utaona tu anafanya harakati za kukufanya uwe mkewe

Wacha kupoteza wakati wako wa thamani na mwili wako kuendelea kutumika kwa mwanamme asiye mume wako na hana mpango wa kukufanya mke wako. Kimbia, wako yupo
 
1.Mwanamke anapokua Hana pesa, mahusiano kwake ni chanzo cha mapato( Kama amepata Ajira) lengo la kila mwanamke ukimuuliza atakujibu nataka mwanaume awe anamuhudumia awe anampa pesa.

2. Mwanamke akipata pesa anajitenga na mwanaume, ila mwanume akipata pesa uwaza kutumia na mwanamke, zingatia mwanamke awe mke wake au mchepuko Bado ni mwanamke.
Huu ni ukweli ambao tunauishi na kuuona kwenye jamii yetu kila siku. Lakini watakuja wabishi hapa watakwambia unakwepa majukumu, una inferior complexity na blah blah kibao.
 
Ulikuwa na shida ya kula mbususu. Tayari umepata now she is useless!

Kwa mwanaume mahusiano ni kujitoa.

Ukiona haupo tayari kujitoa kwa mwanamke wako basi jua huyo haukuwa na malengo naye ya muda mrefu.
Mwanaume kujitoa au sio 😀😀😀😀😀
 
Ni kweli akipata kazi ndio utajua tabia yake halisi, lakini je alikutongoza?

Wakati mnatongozana ulijua ana kazi au hana?
Kwaiyo hicho kigezo cha kutongoza ndio mnataka kukituma kutufanya watumwa wa kubeba gharama zenu za maisha.

Suala sio kutongozwa suala ni unaongeza output ipi kwenye mahusiano.

All you provide is sex, then ni mwendo wa hit and run tu.
 
Majivuno....angeendelea tu na maisha yake aisee
Maisha yake yepi hayo aliyoshindwa kuendelea nayo kipindi chote miaka miwili? Mahusiano yalimzuia kupata kazi au kuanzisha biashara ndogo ndogo? Au maisha yake unamaanisha kubadilisha badilisha wanaume mpaka atakapompata wa kumpa hela?
 
Back
Top Bottom