Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Mapenzi ya kuviziana ni changamoto kwa vijana. Hata mwenye nia nzuri unashindwa kumuaminiHii sio kwaajili yako, naongea na mabinti juu ya aina ya wanaume kama wewe....
Wanaume hawana kona kona kwenye jambo alilokusudia kufanya. Men are intentional when they want to marry. Inachukuwa miezi 3 mpaka mwaka kujua kama mnafika popote. Na utajuaje? Matendo yake, utaona tu anafanya harakati za kukufanya uwe mkewe
Wacha kupoteza wakati wako wa thamani na mwili wako kuendelea kutumika kwa mwanamme asiye mume wako na hana mpango wa kukufanya mke wako. Kimbia, wako yupo