Nimemwambia akipata kazi na pesa ndiyo nitajua kama ana mapenzi ya kweli na mimi, kakasirika

Mapenzi ya kuviziana ni changamoto kwa vijana. Hata mwenye nia nzuri unashindwa kumuamini
 
Kwaiyo hicho kigezo cha kutongoza ndio mnataka kukituma kutufanya watumwa wa kubeba gharama zenu za maisha.

Suala sio kutongozwa suala ni unaongeza output ipi kwenye mahusiano.

All you provide is sex, then ni mwendo wa hit and run tu.


Wenye kazi hakuwaona? wenye hela hakuwaona? watoto wa matajiri hakuwaona? Mwanzo alijua ataprovide nini kingine zaidi ya sex? Alivyoona ha provide kingine zaidi ya sex akaendelea kufanyana nae hadi alipoona amemchoka sio?

Hit and run? As if inawezekana kwa kila mtu… kuna siku wajinga wenzenu wataisha! Mtajifunza kuwaheshimu wanawake au kujitenga nao.
 
Mnabidi mkubali tu ukweli kwamba vijana washa-unlock code na kuona mwanamke wa sasa ni liability. Mchango wake pekee ni sex tu ambayo haileti valuable output yoyote mezani, na hapa ndipo mapenzi ya kuviziana yanapoanzia.

Bado tupo mwanzoni lakini mbeleni hii trend itasambaa zaidi. Namna pekee ya kuji-adjust na nyie mnatakiwa kuamka na kuwa na output kwenye mahusiano yenu vinginevyo wengi wenu mtaishia kutumika kwa starehe ya muda mfupi tu hata kama mlikua na nia njema kwenye hayo mahusiano.
 
Una kwepa maswali.

Huyu jamaa yako ni victim? hakujua kama demu wake hana kazi? Wenye kazi wote sisi hakutuona?

Tunakoelekea wenzetu western walishafika kitambo , people are independent out there.
However there’re still Men who provides, Couple who share living costs, kataa ndoa wa kike na kiume , mashoga, wasagaji, sellers/buyers, lost souls, Singles who doesn’t fuvk around etc etc. It is called Society. Kasome sifa za society…….
 
Suala la kazi iyo inajulikana tu mtu mzima anawajibika kujihudumia mwenyewe kwaiyo hata kama hana kazi sasa hivi atatafuta na akikosa atacheki utaratibu mwingine mfano kujiajiri.

Na ielweke kwamba jamaa yetu hajamuacha uyo mwanamke isipokua amemtaka apate kazi au chanzo cha kipato kwanza ili waingie kwenye ndoa wote wakiwa independent. Binafsi sioni kama ni jambo baya
 
Umezingua mbwa wewe umezingua kifala
 
Upo sawa mkuu
Sahihi ya wapi kazingua angekua hamuingilii akamwambia hivyo sawa sasa anamuingilia n still bado anamuita majina ya ajabu kisa kaambiwa amuoe sasa si agonge apite hivi kuliko kupoteza muda
 
Uko sahihi 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…