LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Alinibania nikamvumilia sasa nikaona huu ni upuzi ya nn niteseke sasa baada ya kugundua nimeanza mahusiano mapya ameanza kuvurugwa.
Kipindi sina demu alikuwa ananijibu kwa jeuri kwa sababu alikuwa na uhakika yupo mwenyewe
Sasa baada ya kuendeleza mgomo nikamwambia Leo sitalala nyumbani, kufika tu kazini nikawa napigiwa simu na ndugu zake na ndugu zangu wanamuombea msamaha
Na mimi nimesema leo silali nyumbani ili tu ajue hii dunia ni pana.