Nimemwambia leo silali nyumbani, ameanza kuwapigia ndugu zangu na ndugu zake simu wamuombee msamaha

Alinibania nikamvumilia sasa nikaona huu ni upuzi ya nn niteseke sasa baada ya kugundua nimeanza mahusiano mapya ameanza kuvurugwa.

Kipindi sina demu alikuwa ananijibu kwa jeuri kwa sababu alikuwa na uhakika yupo mwenyewe

Sasa baada ya kuendeleza mgomo nikamwambia Leo sitalala nyumbani, kufika tu kazini nikawa napigiwa simu na ndugu zake na ndugu zangu wanamuombea msamaha

Na mm nimesema leo silali nyumbani ili tu ajue hii dunia ni pana.
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake. Huyo hawara yako, ( mke wa nje- mchepuko) ndiye adui wa mkeo
Na atamnyoosha.
 
Mkuu lengo ilikua kumyoosha amenyooka, cha msingi rudi leo umtembezee jegeje la ki historia remind her why ww ni kidume. U arleady won.

Ukianza pigo za kulala nje akilipiza shauri yako utakua umebomoa nyumba kwa nyege zako.
 
Alinibania nikamvumilia sasa nikaona huu ni upuzi ya nn niteseke sasa baada ya kugundua nimeanza mahusiano mapya ameanza kuvurugwa.

Kipindi sina demu alikuwa ananijibu kwa jeuri kwa sababu alikuwa na uhakika yupo mwenyewe

Sasa baada ya kuendeleza mgomo nikamwambia Leo sitalala nyumbani, kufika tu kazini nikawa napigiwa simu na ndugu zake na ndugu zangu wanamuombea msamaha

Na mimi nimesema leo silali nyumbani ili tu ajue hii dunia ni pana.
Pole
 
Back
Top Bottom