Nimemwambia mama mkwe amuulize mwanae kama mimi ni Baba Mzazi au Mlezi?

Nimemwambia mama mkwe amuulize mwanae kama mimi ni Baba Mzazi au Mlezi?

AI BRAINFULL

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
2,122
Reaction score
5,319
Nipo mkoani uku na mpenzi wangu yupo dar na mungu mwema leo asubuhi amejifungu salama na ukweli mimi nampenda yeye na uyo mtoto

Ila nimewauliza swali mimi ndio baba mzazi au mlezi maana hatuishi wote pamoja huwa twatembeleana

HADI SASA SIJAJIBIWA lengo la kuwauliza nijue kama nipambane kama mzaz au msamalia mwema na niwe tayali kwa lolote uko mbeleni
 
Bint mpole ila naamini nae binadamu ndiomaana nikaomba niwaulize yeye na mamaye nijijue
 
Daah
Screenshot_20261013-154529_Chrome.jpg
 
Hatuna ugomvi lengo mm nijijue tu kupitia yeye mwenyewe kama mimi ni mzazi au mlezi na niwe natoa kama msaada au haki
 
Back
Top Bottom