Nimemwambia nibebee Mimba ili nikuoe hataki

Kama hiyo akili ndo unayo basi kazi ipo
 
Mkuu sikuizi tumeshituka washapigwa sana watu hivyo tumejajanjaruka
Na yeye amestuka hataki kuwa single mother. Kuolewa ataolewa na mtu sahihi na wewe utamuoa atakayekubaliana na matakwa yako.
Kiufupi nyie hampendani
 
Na yeye amestuka hataki kuwa single mother. Kuolewa ataolewa na mtu sahihi na wewe utamuoa atakayekubaliana na matakwa yako.
Kiufupi nyie hampendani
Mkuu me nayeye tunapendana sana ila mbishi hanisikilizi mimi boyfriend wake
 
Kongole nyingi kwa huyo dada kushtukia kuwa humpendi mapema. kwaio watu wasiozaa hawastahili kupendwa? je wewe ukiwa huwezi kubebesha mimba utengwe? inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…