Sijui Nani ana mamlaka ya kutoa hata majina lakini bila shaka rais ana ushawishi.
Nimemuomba mama Samia afikirie kuipa stendi mpya jijini Mwanza jina la Katibu wangu John Mnyika. Nimependekeza jina la Mnyika sababu ya uwezo wake mkubwa wa kiongozi hapa makao makuu, busara, elimu, ushawishi.
Sio kwamba hawa wengine hawana balini nadra sana kuvikuta vyote kwa pamoja kwa mtu mmoja.
.
Majibu yatakuja hapahapa.