Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Leo asubuhi nikiwa kwenye daladala nimeshanga kumwona kijana mdogo wa umri kati ya miaka 12- 14 akiwa na mvi kichwani. Nimeshangaa na nimeshindwa kuelewa; inakuwaje mtoto wa umri huo awe na mvi kichwani? Tafadhali kwa anayejua sababu anijulishe.