Nimemwona Wema Sepetu, nimeshangaa kwanini tuna mu-Over rate sana

Mtafute wema wa mr. Blue,kanumba,chaz baba achana na huyu wa Diamond....

Pombe,umri,nasikia hata ile ishu ya makonda anatumia....plus ku2mika sana .
 
Mi mwenyewe nilimuona yaani ana minyama fulani kwa makwasukwasu
 
Wema mzuri wewe acha fix
Nope!
Kuna siku tumekutana nae pale Steers ya City centre (sijui kama bado ipo), jamaa yangu alimshangaa sana. Alisema mbona hafanani na sifa anazopewa kwenye media? Nikasema kausha, wapenzi wake wasije wakakusikia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kila mwaka yeye anasema ana miaka 29. Hazeeki bhana
Hahahhaaa labda kwa ile lugha maarufu ya "ngo'mbe hazeeki maini" lakini kiumri anazeeka aisee
 
Pale kati patamu by Ellibariki
 
Tako lake limeongezeka sana sio kama lile la 2006 wakati anapata uMiss TZ. Tako la sasa ni kama mkate ulioloa maji, lipo batebate yaani ukibonyeza halirudi juu haraka. Amebadilika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…