Nimemwona Wema Sepetu, nimeshangaa kwanini tuna mu-Over rate sana

Mmh jaman Mbona ni mzuri tu hana ubaya wowote ndio maana ni mmoja wapo wa mastar beauty hapa Bongo kwenye Top 5
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watakuita bavicha sasa hivii

Wema mzuri banaa
 
Hahaaaa ndie aliyemfanta Zarithebossy aachane na Chibu, yaani Wema kachokaa sijui papaa yake itakuwaje maana duuu. TID, MR BLUE, DIAMOND, DIMPOZ, IDRISS SULTAN, CARLISA...... Mtamalizia wenzangu majina mengine.
 
Kwani we unafikiri wema mzuri kivile sasa?

Mbona huo uzuri wake alio nao bado atasubiri sana kumfikia Dada angu mbitiyaza kwa urembo alio nao
 
Kwani Diamond anasemaje kumhusu Wema?

Na mbona kaachana na Zari.!?
 
hao woote wanaomsifia wema wanatoka mikoani hata wakimuona kichuya au okwi barabarani wanajazani unasimama unauliza kuna nini hapa jamani watakwambia tunamuangalia wema au okwi looo tz washamba wengi
Acha hizo sio wote wanaokaa mikoani ni washamba ,wengine hawanaga time na masuper star
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…