Ni mzuri yule dada sema umri imekuwa tatizo kwake...anazeeka so hawezi bakia na standard ile ile.
marehemu kanuHahaaaa ndie aliyemfanta Zarithebossy aachane na Chibu, yaani Wema kachokaa sijui papaa yake itakuwaje maana duuu. TID, MR BLUE, DIAMOND, DIMPOZ, IDRISS SULTAN, CARLISA...... Mtamalizia wenzangu majina mengine.
Wema mzuri wewe acha fix
Mean?...mi Wema?.... Unanifurahisha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Lohh ...
Jiwe gizani..
Pole sana.
Waambie maboya wanamuangalia on screen...sie tunakaa nae mtaa mmoja ndo tunamfahamu deeply!Yule binti kisu jaman sema mambo ya kwenda na wakati ndio yamemuharibia swiha.
Hata umbo lake ni zuri tuu...sema watu wana over attack about her shape!Bwana wema sura yake inavutia sana ila umbo kuna baadhi ya nguo zinamchora anaonekana vibaya
Yaani ni imbecile... Fils de pute kabisaNa ww ni mwanaume? Empty Set kabisa
No way! Hukumuangalia vizuri mkuuWema wa zamani sio huyu mwenye cellulites mpaka usoni.
Waambie maboya wanamuangalia on screen...sie tunakaa nae mtaa mmoja ndo tunamfahamu deeply!
Wema hana uzuri wowote juu tu kuzuri lakini chini miguu kama fitto za kujengea nyumba zile za udongo vijijiniHujaona miguu yake?
Kwangu namuona tu kama giant fulani hivi la kike. Sioni uzuri alionao sasa.No way! Hukumuangalia vizuri mkuu