Nimemwona Wema Sepetu, nimeshangaa kwanini tuna mu-Over rate sana

Nimemwona Wema Sepetu, nimeshangaa kwanini tuna mu-Over rate sana

Karibu mjini Daslaamu swahiba,leo umemuona Wema si ndio...?[emoji23][emoji23][emoji23] kesho ukimuona Jokate mwaga thread pia mpaka ukirudi kule nanliuu mbona tutawajua wengi.
 
Hahaaaa ndie aliyemfanta Zarithebossy aachane na Chibu, yaani Wema kachokaa sijui papaa yake itakuwaje maana duuu. TID, MR BLUE, DIAMOND, DIMPOZ, IDRISS SULTAN, CARLISA...... Mtamalizia wenzangu majina mengine.
marehemu kanu
 
Amebadilika tu juzi...hapa miaka 2 nyuma alikuwa masharah..
 
Wema ni mwanamke wa kawaida sana tena narudia wakawaida tena sana kuna watu mtaani wazuri mara mia ya huyo wema
 
Back
Top Bottom