Unanogewa na picha ndugu, mimi nilikataaga mika mingi? Wema hamfikii Joket wala Zari, Wana Lulu, wala Tunda wala Kajala. Haya maswala ya kuona mwanamke kajipodoa na kujimake up insta unakimbilia kusema mzr ni uzuzu. Sepetu, anavaa nguo za kukusacha mwili wala hana shape, hata picha zake za utotoni hazionyeshi km atakuja kuwa na figa ya hatari. Figure huwanza kujitengeneza mapema mno. Angalia Lulu, Kajala, Tunda nk huwezi pata hips ukiwa na miaka 25 hizo ni za kununua. Hana lolote akina aslay acha wamuimbe wajifurahishe tu, ni mwanamke wa kawaida sana sema Diamondi nae hajuagi mademu wazuri, katoka kwa wema kaenda kwa yule bibi kizee, siju safari hii atakuja na dubwana lipi.Wema mzuri wewe acha fix
LabdaNdio maisha aliyoyachagua labda akifikisha 40 atashtuka [emoji12] [emoji12]
Ivi kwanini asikae na kujistiri kama mtoto mzuri wa kislam[emoji2] [emoji2] [emoji2] hamna bwana anapendwa na watu wa aina zote
Hapo sasa hatuwez kuingilia maisha yake mana kila mtu anachagua life style anayoipendaIvi kwanini asikae na kujistiri kama mtoto mzuri wa kislam
Wewe acha kuidanganya nafsi yako eti unachagua ukipendacho???Hapo sasa hatuwez kuingilia maisha yake mana kila mtu anachagua life style anayoipenda
[emoji3][emoji3]Karibu mjini..rubbish
Asa utamlazimisha mtu aishi utakavyo ww au ? Mwisho wa siku kila mtu atavuna alichokipandaWewe acha kuidanganya nafsi yako eti unachagua ukipendacho???
Demu wangu mkali kisu kuliko hata wema[emoji57]Mmh jaman Mbona ni mzuri tu hana ubaya wowote ndio maana ni mmoja wapo wa mastar beauty hapa Bongo kwenye Top 5
Hahahahah nakumbuka miaka 12 iliyopita alikuwa na miaka 22 hahahahah hadi sasa imegota hapo hapoAnazeeka vipi ndio kwanza ana miaka 22?
Acheni utani bongo kuna mademu wazuri kuliko huyo sepenga
Mfano huyu hapa chini mtoto mbichiiiView attachment 711311
Team Wema dieMean?...mi Wema?.... Unanifurahisha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
TwahahahaaaAna hips nne
hahaaaKaribu mjini..rubbish