Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wivuMi mwenyewe nilimuona yaani ana minyama fulani kwa makwasukwasu
Anapiga ndele sanaAisee, huyu dada ambae sifa zake zimejaa Tz na kuimbwa mara kwa mara kwenye miziki ya wanamziki wakubwa hapa bongo leo nimemwona live Supermarket moja msasani.
Niseme wazi bila chuki, Wema hana uzuri hata wa demu wangu kajaa manyama kwenye mikono, makalio yame jaa jaa mpaka unaona mabonde mabonde.
Yani nimevuta picha akivua nguo, hiyo michirizi sio ya nchi hii, ni ramani ya kwenda sauzi kabisa.
Kwenda kuangalia picha za IG na jinsi nilivyo muona nikaamini kweli wabongo tunabibiwa sana.
Ilibidi niulize tena kwa watu tofauti kwamba huyu ni Wema kweli?
Khaaaaa!!
Madam au msaidiz wake?Nilikutana nae Mt Meru Arusha, Tako liko magotini hahaha
Ni mzuri yule dada sema umri imekuwa tatizo kwake...anazeeka so hawezi bakia na standard ile ile.