Nimemzaba kofi 'wife' sababu ya Prof.Lipumba. Kamaindi, karudi kwao Kinyerezi

Nimemzaba kofi 'wife' sababu ya Prof.Lipumba. Kamaindi, karudi kwao Kinyerezi

Daa umetuzalilisha wanaume. Pia omba msamaha kwa Mkeo na wanaume tuliofedhehesha.

Kwahiyo kukuambia wewe ni CUF ya Lipumba Kofi je akikuita Magu hotaua kweli?
 
Kweli hapo limekuganda. Hapo tumia akili mbadala mwanangu. We hakikisha kuwa unakutana na huyo wife hata kama amezima cm. Tafuta hata rafiki yake akusaidie hiyo ishu akija ongea nae na muyamalize hata km hatakukubalia, na km maisha yenu kabla ya hapo hamkuwa na shida atakusamehe tu na atarudi. Ila ua he utani wakumzaba mwenzako kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daa umetuzalilisha wanaume. Pia omba msamaha kwa Mkeo na wanaume tuliofedhehesha.

Kwahiyo kukuambia wewe ni CUF ya Lipumba Kofi je akikuita Magu hotaua kweli?
Inamana sasa niache kutaniana na mke wangu...au? Mbona vibao vya makalio hua haondoki mkuu? Huyu ananletea visa tu

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Kweli hapo limekuganda. Hapo tumia akili mbadala mwanangu. We hakikisha kuwa unakutana na huyo wife hata kama amezima cm. Tafuta hata rafiki yake akusaidie hiyo ishu akija ongea nae na muyamalize hata km hatakukubalia, na km maisha yenu kabla ya hapo hamkuwa na shida atakusamehe tu na atarudi. Ila ua he utani wakumzaba mwenzako kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
Sante mkuu

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Wanajamvi,

Ivi wenzangu hamnaga matani kwenye mahusiano yenu huko?? Iko hivi....

Nipo na wife tumekaa kitandani, wife anakunja nguo mie nachezea simu iko kwenye chaji huku nimejilaza. Hapa na pale wife kaniambia kiutaniutani tu eti "..afu we unaonekana upo CUF ...tena CUF ya Lipumba. Mie kwa ghadhabu nikanyanyuka nikamzaba kofi moja mpaka akaangukia kitandani, mie nilizan ni masikhara tu kajiangusha. Nikarud kitandan nikaendelea kuchezea sim, nikamwambia "Lipumba hana CUF... kuna CCM na CCM ya Lipumba"

Wife akaamka, katoka nje kapiga yowe moja. Inavoonekana, lile kofi kachukulia serious ameondoka amekimbilia kwao Kinyerezi. Kama nusu saa sasa naona simu ya Mamaake Mdogo inanipigia. Sijapokea. Bila shaka wife kaishafika kwao...

Hapa majirani wawili wamekuja home wanauliza kunani yowe hilo; nimewambia pako shwari tu, labda waliskia vibaya.Sasa najiuliza; kama kwel kachukulia serious hadi ameenda kushtaki kwao, hii kesi mbona ni ngumu sana. Ivi kweli inawezekana kumwelezea mtu mzima mwenye akili timamu huu wehu wa prof kua ndo chanzo cha ugomvi? Nikiwaeleza wakwe haya mambo ya Lipumba afu eti nikamzaba kikofi binti yao, wataniona niko timamu kweli? Au nifanyeje jaman; asalaaaleh?
Ulikuwa hujui kuwa ni demu wa lipumba? Ona sasa umempa tixket ya kuliwa. Siku nyingine atasema anapenda chadema na kumtaja mbowe, ukimpiga tu wanakutana KIA.. BE CAREFUL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini ulimpiga kofo kama mlikua kwenye utani??? nyie wanaume ndio maana mnanyweshwa mikojo na nyama mbichi nyieeee.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
kofo- kofi

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Back
Top Bottom