Nimemzaba kofi 'wife' sababu ya Prof.Lipumba. Kamaindi, karudi kwao Kinyerezi

Ivi kweli inawezekana kumwelezea mtu mzima mwenye akili timamu huu wehu wa prof kua ndo chanzo cha ugomvi?

Kwa hiyo umeona wana JF ni watu wazima wasio kuwa na akili timamu kwa kuwezekana kutuelezea ugomvi wako na mkeo juu ya Prof. Lipumba?
 
hahahahah asalaaaleh!!!
Nimecheka sana
Yani stori yako na ID yako kilambimkwidu ni comedy tosha

Kipimo cha mkojo kinatakiwa hapo. Yaani anampiga mkewe halafu anasema ni utani. Halafu majirani wanasogea wanauliza kama kuna issue halafu anawaambia hakuna issue ni masikio yao ndio yana shida wakati mkewe katoka nje na kupiga kelele na yeye akasikia.
 
Umefanya vizur tena bahati nzuri unakuta baba mkwe ni CUF asili... Atakuomba umuongeze kibao kingine ili atoe yale maji ambayo ukikamatwa tu.. Lazima wakulazimishe uyatoe wakayapime

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba naona umekurupuka kama jpm [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Hakuna namna hapo nenda ukweni ukaombe msamaha tu mambo yaishe ,kesi ndogo sana hiyo.
 
Lugha ya ndoa ngumu sanaaa kuekeweka.
Ungeacha kuchezea cm na umsaidie mkeo hata kukunja nguo mbili tu angefarijika na angejua umeelewa lugha aliyoitumia.

Usiwe na mkono mwepesi kiac hicho mkuu
 
Aisee....naona limekua serious. Najaribu kumeneji hapa...naona simu ya Uncle tena. Wife kazima sim tatzo

An ant on the move does more than a dozing ox.
Kutopokea simu kutaleta taswira ya kudhamiria kumpiga mkeo, pokea simu zao waambie utaenda mkaongelee huko kwao.
Kesho mchukue mwenzio mmoja funga safari ukatatue hiyo kitu
 
Wanajamvi. Hapa nilipo nimefunga milango yote nimelala chumbani. Simu zinamwagika kias kwamba nakosa utulivu kusoma ushauri wenu.

Na tatzo lingine ...hua niko vibaya na mamamkwe. Sijui hii issue ataichukuliaje.

Ila kinyerezi siendi aisee, piga ua. Nitaenda sokolwa sana bichwa langu, mamkwe hafai anagubu mno!!

Nitawajuza. Ila utani mbaya kumbe

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…