kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
- Thread starter
- #101
Kheri yako. Mie huyu bwn hapanaHa ha ha haaaaaaa.... Pole Sana Mkuu, Mimi wife ni CCM damu, ILA Hua haniletei masikhara.
An ant on the move does more than a dozing ox.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kheri yako. Mie huyu bwn hapanaHa ha ha haaaaaaa.... Pole Sana Mkuu, Mimi wife ni CCM damu, ILA Hua haniletei masikhara.
Unampa kiki, umetumwa eeh!Akili za mkeo na zako sawa tu
Labda.MKuu utakuwa chizi au upo kwenye siku zako si bure
Teh...yamenikuta mkuu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu utanivunja mbavu aiseee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unanifananisha na kitu cha kijinga mkuu, nitake radhi
Hahhahhahahahah asalaaaleh!!!
Nimecheka sana
Yani stori yako na ID yako kilambimkwidu ni comedy tosha
Hapana. Huku nipo huru kujieleza bila kujalisha yoyote awaye. Ushaur wako ni upi mkuuKwa hiyo umeona wana JF ni watu wazima wasio kuwa na akili timamu kwa kuwezekana kutuelezea ugomvi wako na mkeo juu ya Prof. Lipumba?
Na ikivinjika akaolewe na prof tu bora...kwan si hana mke ama?Huko aliko masikini Professor anakula ubwabwa wala hujui kuwa leo jina lake limesababisha ndoa ivunjike
Hahha....harakaharaka vile isingewezekana mkuu. Mkono hausubir kudindaUlitumia kiungo kibaya kumchapanacho
laiti ungetumia gegedo msingefika huko!
Kwa hali ilivo naona hii ingekua nafuu kwangu kuliko alivokimbilia kwaoMimi nisingekimbia ukweni,ningemrudushia bonge la kibao cha mgongo.
Meza yote ya dressing table ingehamia mwilin kwake.
Unajua wife ndo anajua na mazingira yalivokua afu hataki kuelewa. Wakwe ndo hawataelewa kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda kinyerezi kawaeleweshe wakwe zako kwamba ilikuwa ni utani tuu.
Hapana. Huku nipo huru kujieleza bila kujalisha yoyote awaye. Ushaur wako ni upi mkuu
An ant on the move does more than a dozing ox.
Yan namkosea mke wangu msamaha naomba ukweni....ivi maisha haya mpaka lini??Mzee baba naona umekurupuka kama jpm [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hakuna namna hapo nenda ukweni ukaombe msamaha tu mambo yaishe ,kesi ndogo sana hiyo.
Mie 32 wife 27Mna umri gani?
Mkuu nlimnasa kikofi cha utani tuKwanini ulimpiga kofo kama mlikua kwenye utani??? nyie wanaume ndio maana mnanyweshwa mikojo na nyama mbichi nyieeee.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Kama nakuelewa mkuuKilichofanya umnase kibao ni nini, kwanini hukumjibu kwa masikhara kama alivyokuuliza kwa masikhara? Na kibao ulichomnasa inaonesha ulidhamiria, hadi mtu aanguke kitandani.... Eti masikhara
Nyanyua mbaliga zako hapo nenda kaombe msamaha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15]Jitahidi kumrudisha mapema maana akirudi atakuwa na mimba ya mwanachama mwenzake
Sent using Jamii Forums mobile app
Harmonize nae alitimua mbio kama Harmorapa?? Lin hyo? Mmh, nilipitwa hahhaaSasa kofi moja tu ametoka Hapo Kwako Kibiti mpaka Kinyerezi?? Ungeamua kushika mashine si ndio angefika bagamoyo kama harmonize?
Asante sana kwa ushaur mkuuHaina haja ya kwenda kwao,muhimu kataa haujampiga kabisa na ikiwezekana waambie kwao alikuwa na lake jambo,ni makosa kuhitrafiana na mkeo akaenda kwao,kwao alishaaga kitambo na hawamtambui,sana sana ni kukupalia makaa il uhojiwe jambo ambalo ni aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sifungamani nae kabisaAcha hasira mkuu, uko Cuf ya Lipumba??