AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Mkuu ningekua sirious ningemlapua bonge la bao...ila kile ni kijibao tu kama cha askofu au anachotandikwa mtoto mgalika anaechekeshwaUmesema uliamka kwa gazabu na kumchapa kibao hadi kaangukia kitandani
Alafu unadanganya eti ulikuwa utani, wakati unasema mwenyewe ulikuwa na gazabu.
Unapiga mkeo kisa lipumba
Pole mkuu we andaa shavu tu hakuna namna[emoji28]Tayar mamkwe kaweka msimamo eti niende kwao nimfuate wife ila na wife nae anizabue kibao mbele yao ili yaishe. Yan ni mkorof sana mamkwe
An ant on the move does more than a dozing ox.
Yaan ujue hii story imenichekesha sana, ni kweli haviingii akilini lakini sasa atafanyajeIla inataka moyo na bado sipati picha eti anaenda kwa wakwe anawaambia nilimpiga kikofi cha utani. Yaani haiingii akilini kabisa mumy.
Ila ndio akome utani wa kijinga jinga
Hahaaa. Ila raha ya utani uwe na mipakaHalafu yeye kaona alichofanya ni utani, wakati na mwenzie alikuwa anatania pia halafu hakuona hilo.
Utan ulikua unaendelea jmn...we ivi haujawah pigwa kikofi cha utani na mpenz wako?? Mbona hizo zipo sana jamn...msinihukumu kiivo. Nlimramva kikofi cha mapenz tu, sio 'mbata' [emoji23]Halafu yeye kaona alichofanya ni utani, wakati na mwenzie alikuwa anatania pia halafu hakuona hilo.
Kikofi cha mpenz kingemuangusha muongo ww nenda ukachapwe kwa ma mkwe mambo yaisheUtan ulikua unaendelea jmn...we ivi haujawah pigwa kikofi cha utani na mpenz wako?? Mbona hizo zipo sana jamn...msinihukumu kiivo. Nlimramva kikofi cha mapenz tu, sio 'mbata' [emoji23]
An ant on the move does more than a dozing ox.
Hahhha. Alijitupa ktandani baada ya kikofi...sio kwamba kofi ndo lilimuangusha. Hapa nadhani hamjanielewa vzur. Ila in short nilimzabua tu kimahabaKikofi cha mpenz kingemuangusha muongo ww nenda ukachapwe kwa ma mkwe mambo yaishe
Jina lako tu mi hoiAisee....naona limekua serious. Najaribu kumeneji hapa...naona simu ya Uncle tena. Wife kazima sim tatzo
An ant on the move does more than a dozing ox.
Hahahha...majina ya kibantu hayo dadaangu winliciousJina lako tu mi hoi
Hahaaa. Ila raha ya utani uwe na mipaka
Utan ulikua unaendelea jmn...we ivi haujawah pigwa kikofi cha utani na mpenz wako?? Mbona hizo zipo sana jamn...msinihukumu kiivo. Nlimramva kikofi cha mapenz tu, sio 'mbata' [emoji23]
An ant on the move does more than a dozing ox.
Mmmh, tumefikia huko kwenye kupimana tissue tena!!? Mbona jambo lenyewe dogo sana jmn??Kufahamu mpaka wa utani ni ngumu kidogo, na mara nyingi alarm ulia pale anayetaniwa kuonesha kutofurahia jambo husika. Au ukipatikana unatulia kwani hata wewe utampata tu aliyekupata
Kupata ushahidi inabidi akapimwe hospitali kuangalia kama kuna tissues au cells katika eneo alilopigwa zimekuwa tofauti mfano kuchanika au kuvimba.
Sasa kamchukue ukweni halafu akapimwe halafu utoe ushahidi wa kisayansi tunayoifahamu.
Hili linaniumiza snaa mkuu. Isije kua ni njama ya yeye kuchepuka bila mm kumfwatiliaNgoja ukangongewe kwa upuuzi wako
Safi kabisa atakuwekaje katika kundi LA msaliti Kibaraka wa ccm?