Nimemzaba kofi 'wife' sababu ya Prof.Lipumba. Kamaindi, karudi kwao Kinyerezi

Mi wangu akiwa na Mimi ananipa kampani kuhusu story za harakat ila huwa namuona yupo Benet na wale wamama wa ccm nahis atakuwa ananin'gon'ga yule

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Huko aliko masikini Professor anakula ubwabwa wala hujui kuwa leo jina lake limesababisha ndoa ivunjike

Na hii ndio imeripotiwa, yawezekana kuna nyingine nyingi zimeyumba bila kutolewa taarifa. Na hapa ndio CUF haijakatika, ikikatika na ndoa nyingi zaweza kukatika pia.
 
Ngoja nikutafutie namba ya prof aongee na ndg zake aeleza kuwa yy ndio chanzo cha yote ili wakusamehe
 
Wanajamvi,

Ivi wenzangu hamnaga matani kwenye mahusiano yenu huko?? Iko hivi....

Nipo na wife tumekaa kitandani, wife anakunja nguo mie nachezea simu iko kwenye chaji huku nimejilaza. Hapa na pale wife kaniambia kiutaniutani tu eti "..afu we unaonekana upo CUF ...tena CUF ya Lipumba. Mie kwa ghadhabu nikanyanyuka nikamzaba kofi moja mpaka akaangukia kitandani, mie nilizan ni masikhara tu kajiangusha. Nikarud kitandan nikaendelea kuchezea sim, nikamwambia "Lipumba hana CUF... kuna CCM na CCM ya Lipumba"

Wife akaamka, katoka nje kapiga yowe moja. Inavoonekana, lile kofi kachukulia serious ameondoka amekimbilia kwao Kinyerezi. Kama nusu saa sasa naona simu ya Mamaake Mdogo inanipigia. Sijapokea. Bila shaka wife kaishafika kwao...

Hapa majirani wawili wamekuja home wanauliza kunani yowe hilo; nimewambia pako shwari tu, labda waliskia vibaya.Sasa najiuliza; kama kwel kachukulia serious hadi ameenda kushtaki kwao, hii kesi mbona ni ngumu sana. Ivi kweli inawezekana kumwelezea mtu mzima mwenye akili timamu huu wehu wa prof kua ndo chanzo cha ugomvi? Nikiwaeleza wakwe haya mambo ya Lipumba afu eti nikamzaba kikofi binti yao, wataniona niko timamu kweli? Au nifanyeje jaman; asalaaaleh?
Umefanya vema. Yule bwana pro-pesa pumba hana mfano wa kulinganishwa kwa kuganga njaa. Atakayekulinganisha naye zaba makofi tu hata kama mkiwa kitandani. Ni dharau kubwa!
 
Wanajamvi,

Ivi wenzangu hamnaga matani kwenye mahusiano yenu huko?? Iko hivi....

Nipo na wife tumekaa kitandani, wife anakunja nguo mie nachezea simu iko kwenye chaji huku nimejilaza. Hapa na pale wife kaniambia kiutaniutani tu eti "..afu we unaonekana upo CUF ...tena CUF ya Lipumba. Mie kwa ghadhabu nikanyanyuka nikamzaba kofi moja mpaka akaangukia kitandani, mie nilizan ni masikhara tu kajiangusha. Nikarud kitandan nikaendelea kuchezea sim, nikamwambia "Lipumba hana CUF... kuna CCM na CCM ya Lipumba"

Wife akaamka, katoka nje kapiga yowe moja. Inavoonekana, lile kofi kachukulia serious ameondoka amekimbilia kwao Kinyerezi. Kama nusu saa sasa naona simu ya Mamaake Mdogo inanipigia. Sijapokea. Bila shaka wife kaishafika kwao...

Hapa majirani wawili wamekuja home wanauliza kunani yowe hilo; nimewambia pako shwari tu, labda waliskia vibaya.Sasa najiuliza; kama kwel kachukulia serious hadi ameenda kushtaki kwao, hii kesi mbona ni ngumu sana. Ivi kweli inawezekana kumwelezea mtu mzima mwenye akili timamu huu wehu wa prof kua ndo chanzo cha ugomvi? Nikiwaeleza wakwe haya mambo ya Lipumba afu eti nikamzaba kikofi binti yao, wataniona niko timamu kweli? Au nifanyeje jaman; asalaaaleh?

Msajili wa vyama akiingilia kati unapelekwa mahakama kuu moja kwa moja maana ukimtaja kwa ubaya Lipumba umegusa maslahi ya CCM!
 
Kwanini ulimpiga kofi kama mlikua kwenye utani??? nyie wanaume ndio maana mnanyweshwa mikojo na nyama mbichi nyieeee.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Kilichofanya umnase kibao ni nini, kwanini hukumjibu kwa masikhara kama alivyokuuliza kwa masikhara? Na kibao ulichomnasa inaonesha ulidhamiria, hadi mtu aanguke kitandani.... Eti masikhara
Nyanyua mbaliga zako hapo nenda kaombe msamaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watakuwa wanadanganyana kwenye ma grupu yao ya whatsapp, hata mimi jana ilibidi nimuache mmoja kituoni baada ya kuniambia nna mambo kama ya lipumba?
 
Wanajamvi,

Ivi wenzangu hamnaga matani kwenye mahusiano yenu huko?? Iko hivi....

Nipo na wife tumekaa kitandani, wife anakunja nguo mie nachezea simu iko kwenye chaji huku nimejilaza. Hapa na pale wife kaniambia kiutaniutani tu eti "..afu we unaonekana upo CUF ...tena CUF ya Lipumba. Mie kwa ghadhabu nikanyanyuka nikamzaba kofi moja mpaka akaangukia kitandani, mie nilizan ni masikhara tu kajiangusha. Nikarud kitandan nikaendelea kuchezea sim, nikamwambia "Lipumba hana CUF... kuna CCM na CCM ya Lipumba"

Wife akaamka, katoka nje kapiga yowe moja. Inavoonekana, lile kofi kachukulia serious ameondoka amekimbilia kwao Kinyerezi. Kama nusu saa sasa naona simu ya Mamaake Mdogo inanipigia. Sijapokea. Bila shaka wife kaishafika kwao...

Hapa majirani wawili wamekuja home wanauliza kunani yowe hilo; nimewambia pako shwari tu, labda waliskia vibaya.Sasa najiuliza; kama kwel kachukulia serious hadi ameenda kushtaki kwao, hii kesi mbona ni ngumu sana. Ivi kweli inawezekana kumwelezea mtu mzima mwenye akili timamu huu wehu wa prof kua ndo chanzo cha ugomvi? Nikiwaeleza wakwe haya mambo ya Lipumba afu eti nikamzaba kikofi binti yao, wataniona niko timamu kweli? Au nifanyeje jaman; asalaaaleh?
Sasa mbona huyo mama mdogo wa mkewako ashasoma stori yote maana nae tunae hapa jf.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee !!
Ha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Huo ni ujinga wa kisiasa, mbona Marehu dadayake Mbowe alikuwa CCM. Wasira wanae walijiunga CHADEMA na hatukusikia akiwafukuza.

Sisi mashabiki ndio tuliowajinga na kuyachukulia haya mambo seriously.

Hebu kesho watakapo kutana Mbowe na Magufuli utaona wakikumbatiana na kucheka pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom