Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,315
Ndio, tena ukiyasoma yaliyoandikwa ktk vitabu vya mapokeo (vitabu vitakatifu) unaona sisi tuna nafuu. Mfalme Daudi ambae dini nyingi zinamwelezea kwenye vitabu vyao alimpa mimba mke wa mtu na kibaya zaidi akaamua mumewe. Mtoto aliezaa na mwanamke huyu ndie alieinuliwa na Mwenyezi Mungu kuwa Mfalme wa Taifa lake huku akijaaliwa "Hekima & Busara" kushinda Binadamu wote kabla na baada yake.Hao viongozi wa dini waliwapa mimba kabla ya ndoa?
Lazima niseme,labda unipe hela
Unatumia namba ile au umebadilisha? Nataka nirushe "ya mboga", teh teh
Ndio, tena ukiyasoma yaliyoandikwa ktk vitabu vya mapokeo (vitabu vitakatifu) unaona sisi tuna nafuu. Mfalme Daudi ambae dini nyingi zinamwelezea kwenye vitabu vyao alimpa mimba mke wa mtu na kibaya zaidi akaamua mumewe. Mtoto aliezaa na mwanamke huyu ndie alieinuliwa na Mwenyezi Mungu kuwa Mfalme wa Taifa lake huku akijaaliwa "Hekima & Busara" kushinda Binadamu wote kabla na baada yake.
"Sikuja kuitengua Torati bali kuitimiliza " Naamini kauli hii unakumbuka.Hiyo zama za kale mkuu, hizi ni enzi za new testament labda waandike agano jipya part II
Hebu soma vzr comment Yangu!hakuna mahali nimesema awadanganye wazazi wake!!
Soma tena!
ha haaa nimeipenda hiyo azae nae watoto wawili kwa haraka haraka lols
pia mimi nimeipenda.lakini unajua kuhitaji mtoto ni issue nyingine! Na kufanikiwa kupata mtoto ni issue nyingine.mimi ni mzee wa 46 yrs.enzi za ujana nilishuhudia jamaa na mke wake walitoa mimba mbili za ujanani kisa alipenda ajirushe na mke wake enzi hizo ndo wameoana ni msichana mwali!weweee alipofikia wakati wa kuhitaji mtoto ampate na nani? Kila mke akijifungua vinakufa.so mtoto ni zawadi toka kwa mungu....
Msalimie sana bibi, mwambie ana kilembwe huku.
Msikimbie sana, jukwaa linakuwa jepesi.
Kwa miaka 44 mimi ningezaa naye tu hasa kama nina uwezo wa kulea mtoto, maana monopause inakaribia. Mengine ya kuishi nami au kunidump yatakuja baadae. Do I have many options katika umri huo? She is not 28, ana miaka 44Usithubutu kuzaa, huu ushauri wa bure tu nakupa!
Kwani wangapi wamezaa na wameachwa?.
Km kweli yupo serious na ni mpango wa Mungu itakua tu dada yangu!!...
Huyo Dada ako nae ataingiliaje mapenzi ,hajui ni makubaliano ya watu 2!
.sorry,huyo Dada ako kaolewa?
Huyo kaka anasema kwao wataleta zengwe,kwahiyo ataenda kuwatangazia ndugu zake kuwa umemzidi?..
If so,hayupo tayari kukudefend huko kwao!?
Dada Yangu muombe Mungu,ukipata amani moyoni jua ndie ,na km ndie hakutakuwa na chochote kitakachozuia,means kila mmoja wenu atakua tayari kudefen penzi lenu!!
Nb:naona anataka kujua km unaweza kuzaa.
Mtazamo wangu tu!!!
Dada mpaka sa8 usiku mnaongea tuu live bila chenga wala umeme kukatikakatika??
ushauri....wewe kama mnapendana bebaneni tu muoane tena kwa shangwe zote! wambie unamiaka28! kwani wakwe watadai cheti cha kuzaliwa???
In a way tulikuwa tunaongea akaniambia ukikutana na mama yangu wakati unadamu yake mikononi hatakuwa na jinsi, aliongea kama utani lakini ilikuwa sentensi nzito
Sky Eclat
Mnaweza kuoana kwasasa, ila kubali tu kesho kutwa utakapokua fifty yrs utaletewa dogo dogo ama kukimbiwa na kuambiwa kua wewe mzee na kusema alikosea kukuoa. Blive me kwa sasa kakutamani sana kwa umri uo simply bcoz hamjaishi pamoja kama husband and wife. Ukimpa amege tu na mkikaa kidogo ataanza iyo sababu ya umri,na tofauti ya umri wenu itakua silaha yake kukuadhibu.
Ushauri : Tafuta age mate wako aliyekwisha tumia ujana wake na kutulia, ambaye kwasasa hana mke, 42-50yrs uko labda ita work out,..........But imekuaje umechelewa hivi?jua limezama dada yangu dah. Anyway All the Best