Nimemzidi umri kwa miaka 12

Kuna mahali eidha umefowadi au umeediti au umeyafanya yote mawili... hiyo itapelekea tushindwe kukupa ushauri mirua
 
Miaka 44 we mkubwa sana mamii!!! Ki Africa Africa its almost abomination
Kama umeweza subiri hadi 44 subiri zaidi that man ain't yo type utakuja kuumia mbeleni
 
Age is just a number .. Ila kutakuwa na changamoto since utazeeka kabla yake so lazima atatafuta agemate wenzake tatizo na wewe umezidi kujiremba mpaka unaoneka msichana mbele ya wavulana. Bora uje kwangu mzee mwenzio tupige show za kizee.
 
weka picha zote tuone sura zenu bibi usije ukawa unatembea na make up ndo mana dogo janja kakuvizia had saa nane usiku aone makunyanz
 
hiyo ndo golden chance komaa na dogo!
#ng'ombe hazeeki maini
 
mwenye huu uzi amekopi na kupesti from my blog. mnatoa ushauri hewa, afu mnaye mshauri mpaka sasa labda atakuwa ame-pass away,kazaa au ameshafunga ndoa.....huu uzi kitambo sana
 
Age is just a number .. Ila kutakuwa na changamoto since utazeeka kabla yake so lazima atatafuta agemate wenzake tatizo na wewe umezidi kujiremba mpaka unaoneka msichana mbele ya wavulana. Bora uje kwangu mzee mwenzio tupige show za kizee.
Shikamoo R Mbuna!
 
hnahakika penzi lenu litadumu na litakuwa tamu na laiti uzi huu angekuwa kaandika yeye huyo mshkaji wako ningemuambia tu a take control ya kila kitu juu yako na ningempa guides flani hivi naimani angezichukua tu.kwenye mambo haya nilishajiona mie nikama ibilisi. halafu nikwambie kitu, mwanaume kabisa aliyekamilika hutoamba mwanamke yeyote aliye ridhaa kutoambwa na yeye hata awe wa namna gani (ila tu ushauri mke wa mtu,mtoto na vichaa hawa jamani tusiwafanye) ukiona mwanaume yeyote anamlingia mwanamke huyo ukimchunguza
piga ua utamkuta ana elements za kike kibao.hivyo natumia fursa hii kwa dhati kumpongeza huyo jamaa yako.ninamengi ya kueleza ila nimechoka sana lakini mkubalie mskaji anaonekana naye jembe.
 
44 miaka kwanza huzai tena jifanye tu kijana mle ujana bas
 
Heeeee!, tatizo kemikali mnazotumia zinatuchanganya vijana. Kuna muda mnaonekana kama bado mabinti, hata mimi nimekumbwa na hilo japo sijui lakufanya hadi sasa. Natarajia kuoa na ninayempenda kanizidi miaka 5.5, nafikiria sipati jibu. Kwa macho anaonekana mdogo, haya mambo haya! shida sana
 
kifupi bado hujaachwa na basi la maisha, kwani wapo watu wazima wenzako kwanini uangaike na watoto wako wa kuwazaa kabisa? ulikuwa wapi kuolewa ulipokuwa bado mbichi 20-30 yrs? au wewe ndio wale walipokuwa kwenye kuchanua wanaleta mapozi mingimingi ya kuchagua chagua sana watu wa kuwaoa wakati umri hausimami unasonga mbele.hili ni tatizo sana mpaka kesho na mabinti wa leo wanaendelea kuchagua sana mpaka wanakosea kupata mtu sahihi wakati wanapokua bado vigoli.mwishoe wanachezewa sana na umri unazidi kwenda.

Endelea kugegedwa na wazee wenzako usimuharibie future huyo kijana kwani ww ni very very old na 44 yrs mimba itakuwa na complications, usijejikuta umepoteza maisha bure wakati wa uzazi.umekura maisha weeeeee ulipokuwa kigoli na inaonekana ulikuwa una maringo sana kwasababu ya urembo na uzuri wako ..sasa hivi umechoka na kuchuja ...unalilia ndoa... sasa hivi unatembea na vitoto vyako afu unajidai mnaongea mpaka saa nane usiku? maongezi gani na kijana?

ushauri;
Tafuta mzee wa miaka 50-60 yrs ili mzeeshane na mzee mwenzako, yaani mmalizie kura raha na rika lako achana kabisa na dotcom. kwani huyo jamaa huenda yupo kimaslahi ie.mariooo..anaetafuta unafuu wa maisha kwako ila unatuficha kwamba ana kazi nzuri.. pia kazi yake sio mapenzi .kuwa makini sana kwani kesho kutwa unagota 50 yrs na jamaa atakukimbia ili akaenjooy maisha na dogodogo anaelingana nae umri na utajuta kuzaliwa na kuwafahamu vijana wa kileo.

kama una amini Mungu yupo na unafanya ibada rudi kwake na ujikite katika kufanya maombi sana kwani umefanya uzinzi na kijana wa kumzaa kabisa ndio maana dadako ana hekima sana alipokwambia umuache huyo jamaa.
 


ACHA WIVU WEWE......31 unahisi atakuwa bado mwehu kiasi HICHO ....
 





NYIE KWANINI MNAHUKUMU SANA DIIIIIIII,,,,,,,,,,,,,SIO KWELI
 
mapenzi kizunguzungu ndio kama hivi....ulishawahi kushika mimba before..? imekuwaje hujazaa pia ulikuwa hutaki kuza...hujawahikuwanamtu au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…