Nimemzidi umri kwa miaka 12

Nimemzidi umri kwa miaka 12

Dah... Huyo kijana!!! Mimi Nina uhakika anakutapeli kimapenzi, sijui kwa nini nahisi hivyo. Anataka kukufanyia utapeli wa kimapenzi.

Kama kweli yupo settled na kipato cha uhakika, na wewe una maisha yako, msome kwanza...give it some time..wewe ni mtu mzima, sidhani kama unaendeshwa na mihemko kivile. Mda utakupa majibu yote...ila nna wasiwasi anakutapeli kimapenzi

At 44 muda unatoka wapi tena kaka? Hapa anatakiwa kupiga magoli ya dakika za majeruhi Kama finals ya Man U Vs Bayern M!
 
Humu kumbe unaweza kuta unawakosea adabu mama na baba zako bila kukusudia. Kama vipi wote waliovuka 40 wajitaje, ili tupunguze masihara popote watakapokuwa, kwa nia njema tu.

Mimi hapa popote unionapo niamkie kiroho safi
 
Humu kumbe unaweza kuta unawakosea adabu mama na baba zako bila kukusudia. Kama vipi wote waliovuka 40 wajitaje, ili tupunguze masihara popote watakapokuwa, kwa nia njema tu.


Dogo, kuna threads zingine ukiona zimekuzidi umri tuachie sisi kaka/baba zako tutoe ushauri. Hapa kuna wazazi wako, wajomba zako na shangazi zako.
 
Kama he realy loves u age is just a number kwenye relation. Unachotakiwa kufanya ni kuchunguza ni yeye anataka nn hasa kwenye huo uhusiano. Sio anataka vitu bali awe anakutaka wewe kama ulivyo. From there it will work out, zaid ya hapo nadhan atakuja kukuacha njiani.
Kuhusu kuzaa sidhan kama ni factor itakayopelekea yeye kukuoa. If he realy mean it anaweza akakuoa hata kabla hujabeba mimba. Ukikubali kubeba mimba kabla uwe tayar kwa lolote, kuolewa ama kukimbiwa. Wish u luck
 
At 44 muda unatoka wapi tena kaka? Hapa anatakiwa kupiga magoli ya dakika za majeruhi Kama finals ya Man U Vs Bayern M!

Dark City, shida kubwa huyu dada anahitaji kuseto na mwanaume. Je, ikitoea kuwa huyu mwanaume anamdamganya na wala hataki kuseto, huoni kama sista ataumia?
 
Last edited by a moderator:
Mpe papuchi dogo aile. Age is just a number - muhimu muwe mmependa; kuelewana na kukubaliana nyie wawili.
 
Kama anakupenda kwa dhati mwambie utazalia ukiwa kwenye ndoa maana usikute shida yake ni mtoto kutoka kwako. Halafu jambo jingine imekuwaje unafikia 44 bila kuwa na mume?

atakua ni type za kina lara1
 
Unajua ndoa za kiafrika ni ndoa za familia, shangazi, mama mkubwa, mjomba wana say katika ndoa ya kijana wao. Kwahiyo ninatafari na kuelewa anaongea nini lakini mwisho wa yote ananipenda ninajua hicho.
 
Ni ushauri mzuri sana kwa wasichana. Hata safari ya matumaini lazima iwe na kikomo. Vinginevyo yanakuwa matumaini hewa.

kuna wamama nawafahamu wameishi kuwa mashuga mumy sababu ya haya mambo ya kujua kuwa wana kikomo.

ameishi na ndugu wee mwisho wote wakasepa. akaamua kugeuza shamba boy ndio mliwazaji
 
yani miaka zaidi ya 20 bila mtt..huyo akisepa una miaka mingine kama hiyo...kumbuka menopause sio ugonjwa wa meno..unless hauna mpango wa kupata mtt
 
Duuh..44 kwa 31!! Hebu jamani nipe uzoefu mi mshamba hivi mama wa miaka 44 anaweza kweli kuwa hata na hisia na kijana wa rika hilo...mwwee mjini mna vituko! Mama tafuta japo wa fourty..mwee ndio maana nchi inakuwa na majangaaaaa! Watu wana walaani watoto wa wenzao!

Na watoto wenyewe wanapenda wakubwa waliowazidi.
 
Dark City, shida kubwa huyu dada anahitaji kuseto na mwanaume. Je, ikitoea kuwa huyu mwanaume anamdamganya na wala hataki kuseto, huoni kama sista ataumia?

mostly mwamaume atakayekuja kusetle naye ni above her age ambaye alidivorce/mgane na ana watoto hivyo anahitaji mtu wa kumaliza naye life span.
hata akizaa na huyo kijana akaenda kwa wadogo wenzie atakuwa ameachiwa cha kumfariji.

tatizo wabongo kila kitu tunataka kumtwisha mzigo Mungu.
binti wa miaka 25 anaambiwa subiri Mungu atakuletea mume bora hata huyu anaambiwa asubiri? may be against her own biology.
 
Last edited by a moderator:
Miaka 44 unaweza shika mimbaa kweli na je tangu ujana wako hujawahi kuwa na mpenzi?
Bado ana bikra Huyo!!!! Ila kwa Dar Na sehemu nyingine zenye maisha magumu hiyo ni kawaida, jaribu kupita clinic huone wanawake wakuuubwa
 
Dark City, shida kubwa huyu dada anahitaji kuseto na mwanaume. Je, ikitoea kuwa huyu mwanaume anamdamganya na wala hataki kuseto, huoni kama sista ataumia?

Kaka Eli79, wish list ya mtoto below 30 haiwezi kuwa sawa na yangu. Brain zimeshatofauitiana sana. Ndiyo maana tunamshauri huyu dada asitembee na kivuli cha miaka 20 iliyopita. Lazima akubali kuhamisha magoli.

Vinginevyo, siwezi kuelewa somo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom