Nimemzidi umri kwa miaka 12

Sikudanganyi hatujawahi kuongelea haya.
 

Umenena Kiongozi, azae tu hata asipoolewa abaki na watoto wake, Wa rika lake wengine saa hizi wana wajukuu ati!
 

Ha haaa nimeipenda hiyo azae nae watoto wawili kwa haraka haraka lols
 
Hilo la dhambi siwezi kulizumgumzia. Naamini "wameshajuana", nilitaka kujua kama ataridhika kuwa na faraja ya mtoto endapo huyo boyfriend ayabadili mawazo baadae.

Hayo yatakuwa mazungumzo baada ya habari. Yanatakiwa kupewa uzito mkubwa sasa ukizingatia suala la umri wa mdogo wetu?
 
Unajuaje pasi na shaka kwamba anakupenda?

I wish ungemfunulia kwanza kisha ulete mrejesho!

ngoja niombe msaada wa jeshi la MMU...
KOKUTONA, MwanajamiiOne, Fixed Point, Mbu, Kaizer, Asprin...

Tatizo ni kwamba kwa sasa hivi hana much choice inabidi kugrab opportunity inayokuja kwanza.....so suala la kuprove love halipo yeye focus yake ni kweny kuzaa tu baas maana umri umeenda.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ni kwamba kwa sasa hivi hana much choice inabidi kugrab opportunity inayokuja kwanza.....so suala la kuproveove halipo yeye focus yake ni kweny kuzaa tu baas maana umri umeenda.

Labda hapendi watt
 
Tatizo ni kwamba kwa sasa hivi hana much choice inabidi kugrab opportunity inayokuja kwanza.....so suala la kuproveove halipo yeye focus yake ni kweny kuzaa tu baas maana umri umeenda.

Umeona Kaizer?

Hivi dakika za majeruhi kuna nafasi tena ya kuremba remba na chenga za akina Zidane?

Ngoja sasa nimwambie bibi tuanze maandalizi ya kupokea kajukuu. Tena wakiwa mapacha itakuwa special hat trick!
 
Last edited by a moderator:
Aisee mamsap kwa huo umri nakushauri hata kama hatokuoa zaa angalau mtoto mmoja au wawili ivi watakufariji baadaye ila wawe wa baba mmoja itamfanya awe na uzito wa kuwa na % flani za upendo na uthamini kwa sababu ya wanawe pamoja na ww umri huo bora mtto kwnza.
 
Miaka 44 unaweza shika mimbaa kweli na je tangu ujana wako hujawahi kuwa na mpenzi?

anashika mimba vizuri tu bila matatzo ila jamaa anahitaji awahi haraka ndani ya miaka 3 awe na watoto 2
 
Kama huna hata mtoto kwa umri huo,subiria menopause at 45 yrs.
 
Sikudanganyi hatujawahi kuongelea haya.

Hamna budi kuongelea na kujua nini kila mmoja akifikiriacho au akitarajiacho kutoka kwa mwenzake. Upendo ni nguzo muhimu sana kwenye mapenzi sikatai ila malengo ni muhimu zaidi tena sana. Unaweza ukaona ni sawa sasa hivi lakini baadae mtakuja kuchukiana. Wewe unataka hiki yeye hataki au yeye anataka hiki wewe hutaki.
 

Na mimi nimefikiria hivyo ukizingatia watoto wanaozaliwa leo ni wazuri kuliko waliozaliwa jana na juzi.
 
tatizo kwani bado hujaliona..mi nashindwa kushangaa..hivi mtt wa kike hadi miaka 44 huna mwanaume anaeeleweka..hutongozwi ama? au yuko selective sana kwamba wote wanaokuja sio type yake

Selective mkuu..alikuwa anamsubiri mtu...
 
Ingekua mwanaume ndo ana 44 sawa,
Fanya japo uzae dada menopause inakaribia au sijui ishaanza,
Maisha mazuri yaonekana unayo kuzaa napo shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…