Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Teh teh! Mie hata umri wako siujui...!
Teh...ndo mpaka nikuambie sasa...isije kuwa na wewe unafikiria kama huyo dogo aliyekisia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh! Mie hata umri wako siujui...!
Sikudanganyi hatujawahi kuongelea haya.Unakaribia 6ft. Siyo mbaya. Yeye ni mrefu pia siyo mbaya. Unampa heshima zote ni vizuri sana. Je matarajio yako/yenu kwenye kupata watoto ni wangapi na kwa kipindi cha muda gani? Mna mikakati gani kwa sababu ki umri ndiyo mshasogea tena haswa wewe mwanamke. Kwa mwanaume bado.
Naomba nikuwowe!!
Hivi miaka 44 wanazaa bila shida?
nafikiri ana wasiwasi akikuoa atapata watoto?
ndo maana anataka mzae kwanza
na wewe ukuendelea kusubiri utazaa na mika 50?
nafikiri huna choice...zaa nae hata asipokuoa angalau utakua na mtoto
tena zaa nae watoto wawili kwa haraka haraka halafu muache mwenyewe aamue kukuoa au kutokuoa.....
Hivi miaka 44 wanazaa bila shida?
nafikiri ana wasiwasi akikuoa atapata watoto?
ndo maana anataka mzae kwanza
na wewe ukuendelea kusubiri utazaa na mika 50?
nafikiri huna choice...zaa nae hata asipokuoa angalau utakua na mtoto
tena zaa nae watoto wawili kwa haraka haraka halafu muache mwenyewe aamue kukuoa au kutokuoa.....
Hilo la dhambi siwezi kulizumgumzia. Naamini "wameshajuana", nilitaka kujua kama ataridhika kuwa na faraja ya mtoto endapo huyo boyfriend ayabadili mawazo baadae.
Bado hajaonja huwezi amini.
Unajuaje pasi na shaka kwamba anakupenda?
I wish ungemfunulia kwanza kisha ulete mrejesho!
ngoja niombe msaada wa jeshi la MMU...
KOKUTONA, MwanajamiiOne, Fixed Point, Mbu, Kaizer, Asprin...
Tatizo ni kwamba kwa sasa hivi hana much choice inabidi kugrab opportunity inayokuja kwanza.....so suala la kuproveove halipo yeye focus yake ni kweny kuzaa tu baas maana umri umeenda.
Tatizo ni kwamba kwa sasa hivi hana much choice inabidi kugrab opportunity inayokuja kwanza.....so suala la kuproveove halipo yeye focus yake ni kweny kuzaa tu baas maana umri umeenda.
Labda hapendi watt
Miaka 44 unaweza shika mimbaa kweli na je tangu ujana wako hujawahi kuwa na mpenzi?
tatizo kwani bado hujaliona..mi nashindwa kushangaa..hivi mtt wa kike hadi miaka 44 huna mwanaume anaeeleweka..hutongozwi ama? au yuko selective sana kwamba wote wanaokuja sio type yakeAt her age? Labda awe ba tatizo
Sikudanganyi hatujawahi kuongelea haya.
Dah... Huyo kijana!!! Mimi Nina uhakika anakutapeli kimapenzi, sijui kwa nini nahisi hivyo. Anataka kukufanyia utapeli wa kimapenzi.
Kama kweli yupo settled na kipato cha uhakika, na wewe una maisha yako, msome kwanza...give it some time..wewe ni mtu mzima, sidhani kama unaendeshwa na mihemko kivile. Mda utakupa majibu yote...ila nna wasiwasi anakutapeli kimapenzi
tatizo kwani bado hujaliona..mi nashindwa kushangaa..hivi mtt wa kike hadi miaka 44 huna mwanaume anaeeleweka..hutongozwi ama? au yuko selective sana kwamba wote wanaokuja sio type yake