Babu matembele
Member
- Jul 11, 2015
- 64
- 10
Mmeongea mpaka sa nane? Kuna utata hapo lakini mapenzi hayachagui umri ni kukabiliana na Maneno ya watu na changamoto zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujana wako ule mwenyewe sahvi unataka dogo dogo, tafuta mzee mwenzako ulikuwa wapi
Usisahau kumpeleka pale firigisin pubTena ngoja nikuletee ovulation.detector!
Huhuhuhuhuhu,mwezi ujao tuanzage kwenda kunywa juwisi ya miwa na mishkaki ya mia!
Najitolea kukusindikiza mwayego!
Je, itakuaje ikiwa kaanza kukugegeda halafu mimba isishike haraka ikapita hata miaka miwili hiyo mimba haijaingia wala kutoka, vp utaendelea kumpa tu mpaka itakaposhika mimba, au? kumbuka kwa mwanamke kadiri umri unavyokwenda (hasa from 35 and above) ndio uwezo wa kuzaa unavyopungua. Na kwangu ndoa si mtoto bali watoto ni zawadi tu kutoka kwa Mungu ama matunda tu ya upendo wenu. Hilo ni angalizo give yourself some time to digest it. Above all, nimepata kujifunza kwamba mapenzi hayana umri wala hayana mwalimu.
In a way tulikuwa tunaongea akaniambia ukikutana na mama yangu wakati unadamu yake mikononi hatakuwa na jinsi, aliongea kama utani lakini ilikuwa sentensi nzito
Opportunity hio my dear, umri umeenda zaa,
Am way younger lakini niko tayar kupata mtt anytime now,
Hujawah tamani jmn,
I pray for u
Du, katika hali ya kawaida, mwanaume akimzidi mwanamke umri ni sawa lakini huyu wa miaka 44 imekuwa kinyume chake, wasiwasi wangu ni kwamba wakioana wakaishi kama mr&mrs kwa miaka 5 kijana ataanza kuona tofauti ktk umri wa mkewe atamwona kama mwanamke mzee au kama mama yake so hapo ndo migogoro ya ndoa itakapoanzia kijana ataona kama vile alikosea kuchagua ndipo atakapoanza kutafuta wasichana wa rika lake au wadogo zaidi na kuanzisha mahusiano yasiyo rasmi nje ya ndoa yao. take care
Dada mpenzi umri si ishu endeleeni na urafiki kwanza. Onyo moja tu "Usizae nae hadi muoane kama itatokea" hivi ukiletewa zengwe na nduguze alafu dogo akabadili mawazo? Wanaume wenyewe wa Bongo unawajua. Endelea kuomba Mungu akusaidie
Miaka 40 mwanamke hujazaa bado? Unasubiria ndoa ndio uzae? Au huna mpango wa kuzaa?
Hivi miaka 44 wanazaa bila shida?
nafikiri ana wasiwasi akikuoa atapata watoto?
ndo maana anataka mzae kwanza
na wewe ukuendelea kusubiri utazaa na mika 50?
nafikiri huna choice...zaa nae hata asipokuoa angalau utakua na mtoto
tena zaa nae watoto wawili kwa haraka haraka halafu muache mwenyewe aamue kukuoa au kutokuoa.....