crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Akili haikuwa sawa wakati huo, sikupiga hesabu vizuri ndio nashtuka saa hizi.
Mbaya zaidi niliyemrudishia alikuwa anatoka kanisani dhehebu fulani nililokuwa naliamini sana.
Nawaomba mkizidishiwa chenchi muwe mnarudisha, mtabarikiwa hayo tu.