Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ili nalo linapaswa kujadiliwa hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
honestly speaking, comment zote zinazosema mungu kajibu maombi ya niliyemzidishia naona ni za kipumbavu tu.Kuna namna pia Mungu huwasaidia watu wake ndo maana mda mwingine,
Na hata usishangae wala kumuona mbabaishaji
Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu. Watu wengi hudhani ukiwa kwenye dini fulani ndiyo hutendi dhambi. Nimeishi na watu wenye dini zote lkn wote wanafanana matendo.Akili haikuwa sawa wakati huo, sikupiga hesabu vizuri ndio nashtuka saa hizi.
Mbaya zaidi niliyemrudishia alikuwa anatoka kanisani dhehebu fulani nililokuwa naliamini sana.
nawaomba mkizidishiwa chenchi muwe mnarudisha, mtabarikiwa hayo tu.
Inategemea. Unakuta mama anauza samaki, huyo lazima umrudishieWengine ukiwarudishia kiwango kilichozidi wanakua na madharau
Mawazo mengine yanasema ukizidishiwa chenji basi hicho ndipo kiwango ulikua uibiwe,Inategemea. Unakuta mama anauza samaki, huyo lazima umrudishie
Sawa mungusio kweli mkuu,
nimejifunza leo. Akili yangu haikuwa sawa kutokana na jambo fulani lililonitokea nikashindwa kupiga hesabu vizuri. Baada ya akili kutulia nimegundua hilo.