crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Akili haikuwa sawa wakati huo, sikupiga hesabu vizuri ndio nashtuka saa hizi.
Mbaya zaidi niliyemrudishia alikuwa anatoka kanisani dhehebu fulani nililokuwa naliamini sana.
nawaomba mkizidishiwa chenchi muwe mnarudisha, mtabarikiwa hayo tu.
KILA MLA CHA WENZAKE NA CHAKE PIA HULIWA. NI SUALA LA MUDA TU.Mimi nina bahati sana ya kuzidishiwa chenji ,huwa narudisha kama anayeuza ni M-mama kama msela labda awe na biashara ya kawaida tu ila kama ina mzunguko wa kutosha simrudishii ,juzi nilizidishiwa elfu 5.
KILA MLA CHA WENZAKE NA CHAKE PIA HULIWA. NI SUALA LA MUDA TU.
Duuh! 😂😂Mimi nina bahati sana ya kuzidishiwa chenji ,huwa narudisha kama anayeuza ni M-mama kama msela labda awe na biashara ya kawaida tu ila kama ina mzunguko wa kutosha simrudishii ,juzi nilizidishiwa elfu 5.
Chenji haiwezi vuka msimbazi mkuu 😅😅😅😅Akili haikuwa sawa wakati huo, sikupiga hesabu vizuri ndio nashtuka saa hizi.
Mbaya zaidi niliyemrudishia alikuwa anatoka kanisani dhehebu fulani nililokuwa naliamini sana.
nawaomba mkizidishiwa chenchi muwe mnarudisha, mtabarikiwa hayo tu.
Vipi jamaa Zetu leo?Usawa huu inakuwa kama ngekewa na kama ni hela ndefu kidogo ujue huyo mteja hiyo njia hapiti tena. 😂😂
Na kama akipita basi tegemea viapo vyote kwamba umejichanganya si yeye uliyemzidishia.
Hakuna namna lazima walie. Teh teh.Vipi jamaa Zetu leo?
Chenji haiwezi vuka msimbazi mkuu
Ahahahahah wanaume tunaumizana sana aiseeMimi nina bahati sana ya kuzidishiwa chenji ,huwa narudisha kama anayeuza ni M-mama kama msela labda awe na biashara ya kawaida tu ila kama ina mzunguko wa kutosha simrudishii ,juzi nilizidishiwa elfu 5.
Uliyemzidishia na yeye binadamu Kama wewe umesema ulikosea hesabu na yeye huenda hivyohivyo usjione binadamu wewe tu kwamba wengine hawakosei
Maneno yako yawe kweliHakuna namna lazima walie. Teh teh.
Dhulma hiyo Tena vijana wengi hawajui ,,yaani Ni mbaya Sana haifaiKweli mkuu ,ndiyo maana naangalia na mtu aliyenizidishia ,kama ana jiweza simrudishii kabisa ila hawa tia maji tia maji ni balaa kuchukua ,lazima utakuja kupoteza pesa zaidi ya hiyo.