Nimemzidishia chenchi mtu bahati mbaya, nimeumia sana

Kuna namna pia Mungu huwasaidia watu wake ndo maana mda mwingine,
Na hata usishangae wala kumuona mbabaishaji
honestly speaking, comment zote zinazosema mungu kajibu maombi ya niliyemzidishia naona ni za kipumbavu tu.
yani mungu achomoe hela kwangu ampe huyo mtu??
my mind was stuck at that moment kutokana na mambo fulani yaliyonitokea leo hivyo sikupiga hesabu nikazidisha.
baada ya akili kutulia nimegundua hilo. Imeniuma sana nikizingatia maana ya ile hela kwangu.
 
Akili haikuwa sawa wakati huo, sikupiga hesabu vizuri ndio nashtuka saa hizi.

Mbaya zaidi niliyemrudishia alikuwa anatoka kanisani dhehebu fulani nililokuwa naliamini sana.

nawaomba mkizidishiwa chenchi muwe mnarudisha, mtabarikiwa hayo tu.
Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu. Watu wengi hudhani ukiwa kwenye dini fulani ndiyo hutendi dhambi. Nimeishi na watu wenye dini zote lkn wote wanafanana matendo.
Kuna siku nilikuwa nanunua kitu fulani dukani, akaja mwanamke amevaa juba ameacha macho tu, akafika akamsalimia anayeuza dukani asalyekum. Hakunisalimia nami nikauchuna, sikumsalimia. Huwa siamini mtu yoyote hata kama ni wa dini fulani unahudhuria sana kwenye nyumba za ibada
 
Wengine mkirudishiwa huwa hamtoi asante hata ya mdomo zaidi ya kuikwapua pesa utadhani uliibiwa
 
sio kweli mkuu,
nimejifunza leo. Akili yangu haikuwa sawa kutokana na jambo fulani lililonitokea nikashindwa kupiga hesabu vizuri. Baada ya akili kutulia nimegundua hilo.
Sawa mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…