Nimemzuia mke wangu kupanda lift ya jirani, lakini amekaidi

Good solution
 
Hilo gari lako mpe wife aende nalo kazini then wewe panda daladala. ili usipate tabu ya kuukondesha moyo kwa wivu.
Hilo nalo neno! Gari anataka awe nalo yeye, mtoto wa mwanamume mwenzake ahangaike na madaladala! Jirani nae kiulanii anatumia fursaa
 
Ndugu, ukiona hivyo, uanze kutafakari tena kuhusu aina ya ndoa mliyokubaliana. Kuna ndoa za aina nyingi. Lakini, kwa kuzingatia idadi ya members, nakumbuka aina hizi:

1. Monogamy (one man-to-one woman),
2. Polygyny (one man-to-many women),
3. Polyandry (many men-to-one woman), na
4. Cenogamy (many men-to-many women).


Kaa na mkeo umkumbushe aina ya ndoa mliyoifunga, halafu umwulize kama amebadilisha mawazo au bado anayasimamia mawazo ya awali. Kama anayasimamia mwulize kama haoni kwamba tabia yake na maneno yake vinatuma ujumbe tofauti. Kama ameyabadili mawazo ya awali, chagua moja: kwenda naye katika type mpya ya ndoa kama anayofikiri, au kufunga mahesabu. Simple!

Kwa uelewa zaidi soma hapa:

Marriage: Characteristics and Types of Marriage
 
Mkuu wewe ni kichwa anapaswa kukusikiliza haswa pale unapomwonya kitu ambacho kinaweza leta nadhara baadaye kuwa na naamuzi kama mume Ustawi ohooo au ashamegwa
 
Mi nikajua umeleta maada kumbe umekuja kujificha huku utoe hasira zako na hyo jiran aliekwambia dawa yake ipo fb
 
Gari uchawi wa kidhungu no ndumba madadaz wananasa wenyewe
 
Jipange mkuu umchukulie kausafiri mkeo hyo ni shida ya kutokuwa na usafiri wake
 
Mkuu wewe ni kichwa anapaswa kukusikiliza haswa pale unapomwonya kitu ambacho kinaweza leta nadhara baadaye kuwa na naamuzi kama mume Ustawi ohooo au ashamegwa
Umoja wa ulaya ulimkatazaRais wa Korea kaskazini wasirushe kombora yeye kakaidi akarusha Umoja wa ulaya wakaufyata na jamaa naona kaufyata
 
Dawa ya hapo panga bajeti zako vzr ununue gari mkuu
 
Ukinunua gari hakikisha na mkeopia analo......
 
Kwa nini usimpe mkeo usafiri alafu wewe ukaenda kupanda daladala...
 
Umechukua hatua stahiki kulinda ndoa yako, huo ndio uanaume.

Nashukuru Mwenyezi Mungu wife Kakataa kufanya kazi mwenyewe, japo mwanzo siku kubaliana nae sana ila sasahivi nime muelewa vizuri kabisa
 
Linda na tetea ndoa yako kwa gharama yoyote ile. Kuchapiwa kunauma aisee.

Tafuta njia nyingine ili mkeo apate urahisi wa kufika kazi kwake
 
Linda na tetea ndoa yako kwa gharama yoyote ile. Kuchapiwa kunauma aisee.

Tafuta njia nyingine ili mkeo apate urahisi wa kufika kazi kwake
Kumbe kuchapiwa kunauma eeh!

Ila kuchapa nje hakuumi eeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…