Mbona suluhisho ya haka katatizo ni ndogo sana boss??
Kwa mujibun wa hii stori yako inaonekana wewe na mkeo mna usafiri, ila huwa unaondoka nao wewe.
Suluhisho
Uwe unampa mkeo hiyo gari yenu anaenda nayo kazini yeye, wewe tumia public transport (hii itaonyesha unamjali sana mkeo, na atafurahia sadaka hii kwake, na itamfanya ajisikie unamjali na kumthamini sana)-Hii inamaanisha kama hajui kuendesha gari, basi umpeleke shule ya driving ajifunze na yeye. Hii itakupunguzia mambo mengi sana mkuu. Wanawake ni viumbe walaini na dhaifu sana(usimuache wife akaota vigoko na kukomaa miguu kwa kudandia daladala,halafu ukaanza kutafuta michepuko milaini). Wewe kidume unaweza kudandia daladala tuu mzee, haina nongwa kabisa-by the way ni sehemu ya mazoezi inakuongezea fitness, inapunguza kitambi na kuongeza na pumzi kwenye mambo mengi (hata kwenye sita kwa sita)
bobby dolat manuu Root datz Mulhat Mpunga Evelyn Salt Kaunga gfsonwin