Nimemzuia mke wangu kupanda lift ya jirani, lakini amekaidi

yaani kama nakuona vile unavyoumia mkuu lkn hapo suruhisho ni kukomaa mpaka upate gari lako jipange harafu jinyime saaana.
 
Mnunulie wife wako gari.
 
Ukizaliwa mwanaume nimateso mpendwa mwanamke hana shukrani wala usije tegemea hilo, wewe ni mume wake ila anaweza kutoka nje live nadhani huna ujanja mshukuru Mungu songa mbele ukiona vipi tafuta mwanamke wakukuliwaza upunguze kumuwaza angalia watoto na famia yanamwisho ila mwanamke muone kama alivyo ila kamwe do not trust them hata akiwa wife
 
Solution ni kumnunulia mkeo gari lake...baaas
Mwanamke akipanda lift ya mwana-mkware,fuska au mzinzi na akaendelea kuipanda hata kama mumewe hataki ,basi tayari! Wanaume wa aina hiyo uwa kama chatu na mbwa!
 
Mpe mkeo gari we upande public.. Siku si mingi anamtafuna mkeo.. No free lunch
 
ushatombewa dogoooo
 
Wahi kabla hajamfaidi shemeji mkuu.......
 
Na umetulia mpk sasa ujaninunulia lakwangu nawe umekaaa tu unajiita baba bila kubabaikia familia yako? na kwataharifa yako kuja huku hakunishtui nitapanda saana kama utaki nipe hilo lako we uende kwa migu.... nyooo tena siku ingini jaribu kunyanyua hizo kwato zako kunilabua uonee shoo itakayokufrahisha. Eeeeti nipanda ya wale wanawake... kwa vile nao kuna wakwako unataka nikachoreke huko?bora nichoreke kwa mwanaumee... nipe hilo gari we panda lift za hao wanawake mtaani nk. MWANAUME PESA BANAA SURUWALE HATA MIMI NAVAA
 
Mfyuuuuu

Nilitaka kutiririka lakini nilipoona ulimkata makofi mkeo nimechefukwa...... hizo nguvu mtumie kwa kulimia
 
Mkuu kama umemwambia na amekaidi, basi hakuna namna nyingine mkuu, kupigwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…