Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,307
Mbona suluhisho ya haka katatizo ni ndogo sana boss??
Kwa mujibun wa hii stori yako inaonekana wewe na mkeo mna usafiri, ila huwa unaondoka nao wewe.
Suluhisho
Uwe unampa mkeo hiyo gari yenu anaenda nayo kazini yeye, wewe tumia public transport (hii itaonyesha unamjali sana mkeo, na atafurahia sadaka hii kwake, na itamfanya ajisikie unamjali na kumthamini sana)-Hii inamaanisha kama hajui kuendesha gari, basi umpeleke shule ya driving ajifunze na yeye. Hii itakupunguzia mambo mengi sana mkuu. Wanawake ni viumbe walaini na dhaifu sana(usimuache wife akaota vigoko na kukomaa miguu kwa kudandia daladala,halafu ukaanza kutafuta michepuko milaini). Wewe kidume unaweza kudandia daladala tuu mzee, haina nongwa kabisa-by the way ni sehemu ya mazoezi inakuongezea fitness, inapunguza kitambi na kuongeza na pumzi kwenye mambo mengi (hata kwenye sita kwa sita)
bobby dolat manuu Root datz Mulhat Mpunga Evelyn Salt Kaunga gfsonwin
Is there any problem with that?Wewe na yule HR
lazima mlete threads za kutoa watu mapovu
leo hiki kesho kile....
Very good mtumishi mwema, huyu jamaa sijui amekuaje siku hiziIs there any problem with that?
Iwapo members wote wa jf wangekua na hiyo notion yako kwamba wote tuwe wasomaji tu wataandika wengine then am sure tusingekua tunakuta hata thread moja ubaoni,
Mikasa ipo kwenye maisha kwa kila mtu hasa hii midogo midogo tofauti ni kwamba kuna wanaopenda ku share na wengine hapa jf kuna wasiopenda, hivyo usiwa discourage wale wenye kupenda ku share na watu
Hii ndio tofauti ya jf na forums zingine, kila ukiamka asubuhi ubaoni kuna mapya yawe ya kweli au la, njia uliyoichagua ya ku treat kila thread negatively am sure muda si mrefu utaanza kuchukia jf,
Nakushauri nenda kule kwenye jukwaa la siasa na habari mchanganyiko, huko ni news tu na yaliyojitokeza kutwa mzima, nakumbuka ulijitahidi sana wakati wa uchaguzi kuandika thread kadhaa huko lakini zikawa zina flop ukipata wachangiaji wengi ni 5 tena wanaokutukana,
Hatufahamiani, hivyo fuata yako
Acha ujuaji, ovaa
Well said mkuuIs there any problem with that?

Humu MMU ni sehemu ya kuondolea stress tu kwa vichekesho na vituko na story mbalimbali, majukwaa yaliyo serious yanajulikana siasa, habari, international forum etc,Wewe na yule HR
lazima mlete threads za kutoa watu mapovu
leo hiki kesho kile....
Ukizaliwa mwanaume nimateso mpendwa mwanamke hana shukrani wala usije tegemea hilo, wewe ni mume wake ila anaweza kutoka nje live nadhani huna ujanja mshukuru Mungu songa mbele ukiona vipi tafuta mwanamke wakukuliwaza upunguze kumuwaza angalia watoto na famia yanamwisho ila mwanamke muone kama alivyo ila kamwe do not trust them hata akiwa wife
hahahahahahaaaa..... kama nakuona vile......nyie wadada nyie....Na umetulia mpk sasa ujaninunulia lakwangu nawe umekaaa tu unajiita baba bila kubabaikia familia yako? na kwataharifa yako kuja huku hakunishtui nitapanda saana kama utaki nipe hilo lako we uende kwa migu.... nyooo tena siku ingini jaribu kunyanyua hizo kwato zako kunilabua uonee shoo itakayokufrahisha. Eeeeti nipanda ya wale wanawake... kwa vile nao kuna wakwako unataka nikachoreke huko?bora nichoreke kwa mwanaumee... nipe hilo gari we panda lift za hao wanawake mtaani nk. MWANAUME PESA BANAA SURUWALE HATA MIMI NAVAA
We mwanamke ww utamtoa roho mwenzio na maneno yakolift tamuuuu... yaani nakaa kwenye mirror narekebisha lipstick mara navuta kimin changu... mara nasaidiwa kufunga mkanda.... lift rahaaa acheni tu tupande lift... na nyie magari yenu endeleeni kutoa lift huko