Nimemzuia mke wangu kupanda lift ya jirani, lakini amekaidi

Mkeo msomi ee?ndo shida hiyo baba ya wanawake wasomi,vumilia baba..
 
Mkeo yupo ktk mashindano na hao wanawake wengine, na atakuwa anaumia roho sana akiwa mbali na jamaa.Na km haoni wapangaji wengine wa kike na hamwoni jirani atakuwa anaumia roho sana.Nikupe pole tuu kwa vile situation uliyopo ni mbaya na ulifanya makosa sana kumwambia kwamba asipande gari ya huyo jamaa. hakuna makosa mabaya km km kumwambia mwanamke kuwa mwanaume fulani ambaye kakutana nae kuwa ni malaya.Huwa wanasikia km umewaambia ni hot cake.
 
Well done. Simamia hapohapo
 
lift tamuuuu... yaani nakaa kwenye mirror narekebisha lipstick mara navuta kimin changu... mara nasaidiwa kufunga mkanda.... lift rahaaa acheni tu tupande lift... na nyie magari yenu endeleeni kutoa lift huko


my ribs jaman
 
Si umnunulie lake!! Au wewe kapande lift za wanaume wenzio then yeye mpe hilo gari, acha ubinafsi na roho mbaya.
 
Amka asubuhi mapema sana hata kama ni saa kumi mpeleke na jioni mfuate ofisini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…