jaribu hiyoWatu wengi tunajua ukali wa mdudu aitwaje nge. Uchungu wake si wa kitoto ! Si kwa mtoto wala mtu mzima. Either kamasi au chozi lazima likutoke tu.
Nge wa porini huwa weusi na wale w nyumbani huwa wana rangi ya kahawia fulani hivi inayopendeza.
Ukiumwa na nge fanya hivi:
Mkamate nge aliyekuuma . Muue na umkate mkia.
Pekecha mkia wake uwe unga halafu paka na usugue sehemu ulipoumwa na huyo nge. Maumivu yanaisha dakika sifuri hapohapo.
Mimi nilishajaribu na nikafanikiwa na kuprove.
Na wewe ukajaribu halafu ulete mrejesho hapa.
Sasa mbona title unasema ni ngeWakuu leo asubuhi niling'atwa na kitu kwenye kidole cha mguu, bahati mbaya sikufahamu hicho kilichoning'ata
Mpaka mda huu kidole kinaniuma
Nimechunguza chunguza nikaja kugundua kuwa niling'atwa na nge maana nimemuona kwenye kitambaa maeneo yaleyale,
Naombeni mnisaidie kwa mnaofahamu,
Je, nge anamadhara makubwa?
USHAURI WENU WAKUU
Ndio huumwi sasa, ungekuwa unaumwa sasa hivi ungekuwa hospitaliKwanini mkuu?
Naskia maumivu japo kwa mbali mkuu
Haiwezi ila labda aliyeumwa awe mtoto mdogo na tena aumwe na nge jike mwenye mimba i mean anayetaga mayai.Ila all in all kifo ni nadra ila kwa mtoto fuatilia ukiona anavimba sana home anaweweseka kimbiza hospitaliMkuu kidole hakijavimba ni maumivu kidogo tu,
Je, mkuu kwani sumu ya nge inaweza kuua?