Nimeng'atwa na nge naombeni msaada wenu wakuu

Nimeng'atwa na nge naombeni msaada wenu wakuu

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
Wakuu leo asubuhi niling'atwa na kitu kwenye kidole cha mguu, bahati mbaya sikufahamu hicho kilichoning'ata
Mpaka mda huu kidole kinaniuma

Nimechunguza chunguza nikaja kugundua kuwa niling'atwa na nge maana nimemuona kwenye kitambaa maeneo yaleyale,

Naombeni mnisaidie kwa mnaofahamu,
Je, nge anamadhara makubwa?

USHAURI WENU WAKUU
 
Watu wengi tunajua ukali wa mdudu aitwaje nge. Uchungu wake si wa kitoto ! Si kwa mtoto wala mtu mzima. Either kamasi au chozi lazima likutoke tu.
Nge wa porini huwa weusi na wale w nyumbani huwa wana rangi ya kahawia fulani hivi inayopendeza.
Ukiumwa na nge fanya hivi:
Mkamate nge aliyekuuma . Muue na umkate mkia.
Pekecha mkia wake uwe unga halafu paka na usugue sehemu ulipoumwa na huyo nge. Maumivu yanaisha dakika sifuri hapohapo.
Mimi nilishajaribu na nikafanikiwa na kuprove.
Na wewe ukajaribu halafu ulete mrejesho hapa.
jaribu hiyo
 
kama huna allergy na sumu yake hakuna shida ukiona unaendelea kuvimba nenda hospital
Mkuu kidole hakijavimba ni maumivu kidogo tu,
Je, mkuu kwani sumu ya nge inaweza kuua?
 
Wakuu leo asubuhi niling'atwa na kitu kwenye kidole cha mguu, bahati mbaya sikufahamu hicho kilichoning'ata
Mpaka mda huu kidole kinaniuma

Nimechunguza chunguza nikaja kugundua kuwa niling'atwa na nge maana nimemuona kwenye kitambaa maeneo yaleyale,

Naombeni mnisaidie kwa mnaofahamu,
Je, nge anamadhara makubwa?

USHAURI WENU WAKUU
Sasa mbona title unasema ni nge
 
Jaribu kufanya ukarabati wa nyumba yako pia mwambie mama ajitahidi usaafi, maana nge hupeandela mazingaira yenye nyufa mkuu
 
Mkuu kidole hakijavimba ni maumivu kidogo tu,
Je, mkuu kwani sumu ya nge inaweza kuua?
Haiwezi ila labda aliyeumwa awe mtoto mdogo na tena aumwe na nge jike mwenye mimba i mean anayetaga mayai.Ila all in all kifo ni nadra ila kwa mtoto fuatilia ukiona anavimba sana home anaweweseka kimbiza hospitali
 
Back
Top Bottom