Nimeng'atwa na nyoka ndotoni

Nimeng'atwa na nyoka ndotoni

Tayari umeshambuliwa na pepo kwenye ufahamu wako ,hii ni mbaya Yako SAWA SAWA.Mambo mengi huanzia kwenye ulimwengu wa roho,usipuuzie kabisa ,hilo ni shambuluzi kamili la kiroho
 
Binafsi nliota napambana na nyoka mkubwa,katika mapambano yale akaniweka mtu kati😂😂,akaning'ata mguu wangu wa kushoto halafu mguu wangu wa kulia akawa kauzungushia sehemu ya mkia wake. Wakati nahangaika kumtoa ndo kuamka kutoka usingizini na sikuwa nmemtoa kwenye miguu yangu.
Imenipa mawazo sana.
Hutopiga hatua yoyote kwenye maisha kama hutokua makini ndugu.
 
Kuumwa nyoka kichwani:

1. Huna ulinzi kiroho, ndomana nyoka amefanikiwa kukuuma.

2. KICHWA ni eneo nyeti, ni engine ya MWILI, hivyo hatari Yako ni kubwa.

3. Shambulizi la KICHWA limelenga kukudhoofisha kiuongozi, maana KICHWA ni Mwanaume, kiongozi.

Umelengwa uvurugwe katika kuwaza, mipango, MIKAKATI kufikiri nk nk.

Umengatwa tayari, hivyo usizubae, tafuta ulinzi wa haraka wa Mungu Kwa kumtafuta kiongozi au mtu wa Mungu aliyeokoka mwenye nguvu za Mungu akusaidie.

4. Mbuga yenye majani, ni sehemu ya KAZI, shambani au kazini, hivyo umeambiwa, waliokushambulia ni katika eneo la kutafuta riziki.

5. Mtu anayekupaka majani ya mchunga ni adui anayekufariji Ili upoteze maxima, litatokea tatizo usipoomba, ambalo litakuwa kubwa, lakini watu wa karibu, marafiki wabaya, watakupa ushauri mbaya Ili upotee.

Badili Rafiki zako.

Ushauri: Tafuta mtumishi wa Mungu aliyeokoka, aliye na nguvu za Mungu, akusaidie kukunasua maana katika spiritual realm, umeshapigwa tayari, ukipuuza, muda Si mrefu, yatakutokea.

Mungu akubariki.

Aamen
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu.
 
Poleni na majukumu watu wa humu, niende moja kwa moja kwenye mada,

Tulikuwa watu zaidi ya watatu, tulikuwa kwenye eneo Kama mbuga hivi ambalo ni nyasi kwa wingi, Sasa ilikuwa ni Kama unachagua pa kukanyaga maana Kila baada ya hatua tatu ni nyoka wakubwa kwa wadogo,

Ikatokea nyoka mmoja mkubwa akanirukia na kuning'ata kisogoni, basi nukawa napiga kelele lakini mwenzangu akachuma majani ya mchunga chapu na kuanza kunipaka nilipong'atwa huku akiniambia ni dawa na nitapona tu nisijali,

Sasa wakati nasubiria kupona ndo nikashtuka kutoka usingizini,

Je hii ndoto Ina maana gani wakuu.
Ndoto ni lango ambalo MUNGU na shetani hulitumia kumfikia MTU wakati mwili unapokua katika hali ya kufa kwa maana usingizi ni kifo cha mwili na MTU (Roho) anabakia katika hali yake asilia ya Roho i.e usingizi humtoa MTU katika ulimwengu wa nyama na damu na kumuingiza katika ulimwengu wa Roho na hili swala ni la ajabu Sana na hapa ndipo tunapokuja kumtukuza MUNGU kwa uumbaji wake wa tofauti Sana B'se mwanadamu ndie kiumbe pekee awezae kuishi katika ulimwengu wa nyama na damu na katika ulimwengu wa Roho

Kifo cha mwili wa nyama na damu = usingizi wa mwili, tofauti usingizi is a temporary death cha mwili ni permanently death lakini vyote humtoa MTU katika mwili na kumpeleka katika roho ni vile kingine ni permanently means MTU hawezi Tena kuludi mwilini na kingine Roho huludi mwilini

MUNGU ni Roho na shetani ni roho Kwaiyo MTU anapoingia katika ulimwengu wa Roho ndio wakati wa MUNGU kusema na mtu vivyo hivyo hata uyu kiumbe shetani humfikia MTU kwa njia ya ndoto na kukamilisha KAZI zake kwa huyo MTU

Ayubu 33

14 Kwa kuwa Mungu hunena mara moja, Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali.

15 Katika ndoto, katika maono ya usiku, Usingizi mzito uwajiliapo watu, Katika usingizi kitandani;

MTU ni Roho humo ndani ya mwili ana ya nafsi hai

Kwaiyo mtu HALISI sio mwili Bali ni Roho

hivyo MAISHA haya tunayoyaona na kuyashudunia kwa Macho yetu ya nyama na damu sio MAISHA HALISI, Bali MAISHA HALISI ni yale tunayoyaaishi na kuyashuhudia baada ya mwili hu wa nyama na damu kufa (kulala usingizi)😀

Kwaiyo kuota unang'atwa na nyoka ni Kweli na HALISI kwasababu wewe HALISI na wa Kweli ni Roho
 
Mungu anatenda maajabu siku napanga kuipeleka kwa fundi mwezanga kabla sijaenda on kaijaribu ikakubali mpaka nikashangaa
 
Kichogoni mkuu that's weird place for snake bite,yaani aruke toka chini Hadi uchogoni?Anyway kiimani nyoka ni Ibilisi so fill the rest.
 
Poleni na majukumu watu wa humu, niende moja kwa moja kwenye mada,

Tulikuwa watu zaidi ya watatu, tulikuwa kwenye eneo Kama mbuga hivi ambalo ni nyasi kwa wingi, Sasa ilikuwa ni Kama unachagua pa kukanyaga maana Kila baada ya hatua tatu ni nyoka wakubwa kwa wadogo,

Ikatokea nyoka mmoja mkubwa akanirukia na kuning'ata kisogoni, basi nukawa napiga kelele lakini mwenzangu akachuma majani ya mchunga chapu na kuanza kunipaka nilipong'atwa huku akiniambia ni dawa na nitapona tu nisijali,

Sasa wakati nasubiria kupona ndo nikashtuka kutoka usingizini,

Je hii ndoto Ina maana gani wakuu.
Watu wengi wanasema ndoto za nyoka kunakua na uwezekano wa watu wabaya kukujia,
Me niliwah ota nataka kumezwa na nyoka then nkakurupuka, lakini kukulupuka kwenyewe ni bado ndotoni sijaamka usingizini
Nkainuna nakimbilia nje lakin bado niko ndotoni ila naondoka kweli
Nkafungua mlango wa chumbani maana hua sifungagi
Nkaja kukwama mlango wa kutokea nje wa sebuleni hua tunafunga funguo tunahifadh maala
Ndo wife ananikimbilia na kunishika wakat napambana kuvuta mlango
Ndo nikashtuka sasa kutoka usingizini najikuta pale
 
Poleni na majukumu watu wa humu, niende moja kwa moja kwenye mada,

Tulikuwa watu zaidi ya watatu, tulikuwa kwenye eneo Kama mbuga hivi ambalo ni nyasi kwa wingi, Sasa ilikuwa ni Kama unachagua pa kukanyaga maana Kila baada ya hatua tatu ni nyoka wakubwa kwa wadogo,

Ikatokea nyoka mmoja mkubwa akanirukia na kuning'ata kisogoni, basi nukawa napiga kelele lakini mwenzangu akachuma majani ya mchunga chapu na kuanza kunipaka nilipong'atwa huku akiniambia ni dawa na nitapona tu nisijali,

Sasa wakati nasubiria kupona ndo nikashtuka kutoka usingizini,

Je hii ndoto Ina maana gani wakuu.
Malizana naye hukohuko
 
Yaani umeota umeng'atwa na nyoka kisogoni? Hata mimi niliota hvyohvyo sema niliwaua
 
Ndoto ni lango ambalo MUNGU na shetani hulitumia kumfikia MTU wakati mwili unapokua katika hali ya kufa kwa maana usingizi ni kifo cha mwili na MTU (Roho) anabakia katika hali yake asilia ya Roho i.e usingizi humtoa MTU katika ulimwengu wa nyama na damu na kumuingiza katika ulimwengu wa Roho na hili swala ni la ajabu Sana na hapa ndipo tunapokuja kumtukuza MUNGU kwa uumbaji wake wa tofauti Sana B'se mwanadamu ndie kiumbe pekee awezae kuishi katika ulimwengu wa nyama na damu na katika ulimwengu wa Roho

Kifo cha mwili wa nyama na damu = usingizi wa mwili, tofauti usingizi is a temporary death cha mwili ni permanently death lakini vyote humtoa MTU katika mwili na kumpeleka katika roho ni vile kingine ni permanently means MTU hawezi Tena kuludi mwilini na kingine Roho huludi mwilini

MUNGU ni Roho na shetani ni roho Kwaiyo MTU anapoingia katika ulimwengu wa Roho ndio wakati wa MUNGU kusema na mtu vivyo hivyo hata uyu kiumbe shetani humfikia MTU kwa njia ya ndoto na kukamilisha KAZI zake kwa huyo MTU

Ayubu 33

14 Kwa kuwa Mungu hunena mara moja, Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali.

15 Katika ndoto, katika maono ya usiku, Usingizi mzito uwajiliapo watu, Katika usingizi kitandani;

MTU ni Roho humo ndani ya mwili ana ya nafsi hai

Kwaiyo mtu HALISI sio mwili Bali ni Roho

hivyo MAISHA haya tunayoyaona na kuyashudunia kwa Macho yetu ya nyama na damu sio MAISHA HALISI, Bali MAISHA HALISI ni yale tunayoyaaishi na kuyashuhudia baada ya mwili hu wa nyama na damu kufa (kulala usingizi)😀

Kwaiyo kuota unang'atwa na nyoka ni Kweli na HALISI kwasababu wewe HALISI na wa Kweli ni Roho
Kuludi🤔🤔
Mkuu una elimu gani,duh hata kiswahili ni shida kwako
 
Back
Top Bottom