Nimeng'oa jino napata maumivu haya,tatizo ni nin?

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
4,210
Reaction score
556
Ndugu wana bodi habarini, ni kama siku nne zimepita tangu ning'oe jino mdomo mwangu. Tatizo ninalopata ni kwamba kila nikila chochote napata maumivu kifuani mwangu. Naomba mnishauri je nini chanzo? Inawezekana hili jino limechangia ama mambo mengine? Karibuni wataalamu wangu!
 
Pole sana tumia pain killers I.e Declopar etc

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Maumivu ni kifuani tu ama unaumwa na mabega? Kama unaumwa mabega na kwenye chembe ya moyo inawezekana una stress tu. Kama hauna discharge yoyote inayotoka kwenye jino, havina uhusiano na jino. Otherwise nenda hospitali huenda una tatizo jingine. Pole sana.
 
Ulikula vi2 vya baridi baada ya kuling'oa? Kama halitoi damu basi hilo litakuwa ttz jingine na c jino.
 
Rudi hospital labda una "infected socket'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…