ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 556
Ndugu wana bodi habarini, ni kama siku nne zimepita tangu ning'oe jino mdomo mwangu. Tatizo ninalopata ni kwamba kila nikila chochote napata maumivu kifuani mwangu. Naomba mnishauri je nini chanzo? Inawezekana hili jino limechangia ama mambo mengine? Karibuni wataalamu wangu!