Nimengudua watu wazima ni wakawaida tu, hakuna maajabu

Nimengudua watu wazima ni wakawaida tu, hakuna maajabu

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
783
Reaction score
3,666
Ukiwa mdogo unadhan mkubwa wako anamajibu ya kila jambo, anajua sana, anNguvu n.k, ila kadri unavyokua unakuja kujua " Being adult means you are adults, and nothing else", ni mtu mzima ni mtoro aliekua tu
 
Nimegungua mtu mzima ni mtoto aliyekuwa.

downloadfile-39.jpg
 
Uzoefu una-matter..

Mfano mtoto anaweza chagua shiling 200 inayong'aa akacha 10,000 iliyochakaa..

Wewe pia kuna vitu vinavyong'aa vinaweza kukupumbaza.

Hivyo usikisie wakubwa hawajui mambo, mengine yanahitaji muda kujua
 
Ukiwa mdogo unadhan mkubwa wako anamajibu ya kila jambo, anajua sana, anNguvu n.k, ila kadri unavyokua unakuja kujua " Being adult means you are adults, and nothing else", ni mtu mzima ni mtoro aliekua tu
Hiyo ndiyo maana ya utoto. Kwani ulidhani ni malaika au viumbe wa ajabu!!!!
 
Back
Top Bottom