Eti jamaa leo ndio amegundua kwmaba mtu mzima ni mtoto ambae hajakua, maana nyingine shahawa ni mtoto ambae hajazaliwa. Kwa kweli aende hati miliki akaandikishe uvumbuzi wake.Ugunduzi wako usajili basata upige hela za seminar
Hiyo ndiyo maana ya utoto. Kwani ulidhani ni malaika au viumbe wa ajabu!!!!Ukiwa mdogo unadhan mkubwa wako anamajibu ya kila jambo, anajua sana, anNguvu n.k, ila kadri unavyokua unakuja kujua " Being adult means you are adults, and nothing else", ni mtu mzima ni mtoro aliekua tu
Mimi nataka mijitu inayofakamia bila huruma.DIVISHENI FOO ndo anawataka hawafakamii sana
Sasa wazee wanaweza kula sana kwani ?Mimi nataka mijitu inayofakamia bila huruma.